Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

Ningewashauri tu Msiwe Mnakata Fedha za watu kwenye manunuzi ya Unit za Umeme.

Haiwezekani Umeme wa 70,000 ninapata Unit 19.
Tena Mita Mbili.

ACHENI DHURUMA.
NIMEMALIZA.
Habari ndugu mteja,

Kwa mara nyingine, tunaomba ututumie namba yako ya mita ili tuweze kufanya uchunguzi wa kina kuhusu changamoto unayokumbana nayo na kukupatia msaada stahiki.

Tunasikitika kufahamu kuwa haujaridhishwa na huduma yetu. Hata hivyo, tunaomba utupe nafasi ya kufuatilia suala hili kwa undani na kubaini chanzo cha changamoto hiyo, kwani tunaamini tunaweza kukusaidia kupata suluhisho linalofaa.

Asante. ^HN​
 
TANESCO ni wababaishaji tu
Habari, ndugu mteja. Tafadhali fahamu kua kuna changamoto mteja akipata, ilikutoa msaada stahiki, kuna taarifa tunakua tunahitaji kutoka kwake.

Kwahiyo, kuna wakati ushirikiano ndo njia rahisi ya mteja kupata msaada na bado tunakaribisha huu ushirikiano.

Asante. ^HN
 
Back
Top Bottom