mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Habari. ndugu mteja na asante kwa ujumbe wako.Tanesco sikuhizi mnakata sana umeme jana nikiwa nyumbani maeneo ya chamazi nimeshinda bila umeme hadi kufikia saa kumi na moja jioni ndio ukarudi. Leo mitaa ya kinondoni studio mmekata umeme mchana wote hadi saa kumi ndio umerudi. Suala la kuwa na umeme wa uhakika kwenu haliwezekani au?
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.Punguzeni bei ya unit tununue magari ya umeme
Ndio kaingia shift ya usiku huyo 🤣Tunamtaka admin RS wewe FL upo serious sana. Utakua ndio mkata umeme wewe.
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.Tanesko punguzeni bei ya umeme bwawa lina zalisha umeme wa kutosha mnafeli wapi?
Habari ndugu mteja, asante kwa pongezi.Mlituahidi baada ya bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika umeme ungeshuka Sana Bei ili Kila Mtanzania amudu Matumizi ambayo yangeokoa misitunyetu na kukimbiza uchumi wa nchi lakini naona bado neno gesi linatakiwa nchini
Cha kuwapongeza tuu ni Mmbeboresha Sana kitengo Cha Mahusiano na emergency 👏👏
Habari Medecin, pole kwa kusubiri huduma. Tumepokea ombi lako namba 021026-0091 kwa utatuzi zaidi.^FLHabari Tanesco
Mimi nimeomba kuunganishiwa umeme wa rea yapata wiki 3 sasa lakini hata control number sijapata japokuwa surveyor alipita kupima
Namba yangu ya simu niliyotumia kuombea umeme ni 0669790525
Unaweza kulala katikati ya mbuga ya Mikumiukitegemea umeme wa tanesco unaweza lala njaa,sembuse kutumia gari la umeme.?
Habari, ndugu mteja.Habari Tanesco
Mimi nimeomba kuunganishiwa umeme wa rea yapata wiki 3 sasa lakini hata control number sijapata japokuwa surveyor alipita kupima
Namba yangu ya simu niliyotumia kuombea umeme ni 0669790525