Kwa mara nyingine, tunaomba ututumie namba yako ya mita ili tuweze kufanya uchunguzi wa kina kuhusu changamoto unayokumbana nayo na kukupatia msaada stahiki.
Tunasikitika kufahamu kuwa haujaridhishwa na huduma yetu. Hata hivyo, tunaomba utupe nafasi ya kufuatilia suala hili kwa undani na kubaini chanzo cha changamoto hiyo, kwani tunaamini tunaweza kukusaidia kupata suluhisho linalofaa.