Kuna haja kubwa ya Yanga kukaa na kujitafakari na Yusuf Manji. Ulaghai anaoufanya ni wa kiwango cha lami au phd kabisa.
Tuseme ukweli. Ni mafanikio gani Manji kayaleta Yanga? Ohh msimu uliopita imeifunga Simba mara Mbili. Moja ya mafanikio makubwa. Mengine ni kupanda ndege kwenye kushiriki makombe mawili baran afrika.
Nachelea tutasikia yanga wamepewa na coco beach wajenge hotel.
Stend united hao wanakujaSikutarajia Matopeni FC wasiongee jambo la kipuuzi ikiwa kwa Wa Kimataifa kunatokea jambo jema
Yanga ndio serikali si mlimuona mh Mwigulu Nchemba? Huyu bin zubery Wale waarabu wauza ngano watakuwa wanamtatua marinda sio bure
Msimu uliopita mlishinda mechi saba mfululizo kuja kwetu tukala mzigo.... Kuna tofauti gani kati ya mavugo na kiiza au lyanga.... Ajibu mchumba anamjua vizuri beki katili YondaniStend united hao wanakuja
Bin zubery anaeleweka atupi shida,uwa namfananisha na LizaboniYanga ndio serikali si mlimuona mh Mwigulu Nchemba? Huyu bin zubery atakuwa anatumika na watu
Ila muhindi ana huruma na ....??Nilijua ule ni usanii tu
Lini muhindi akawa na huruma na yynga??
Mkuu punguza hasiraIla muhindi ana huruma na ....??
Naona inakuuma sana timu yetu kutongozwa, kwani nani kainyima timu yenu kutongozwa?Mambo mengine ni iabu tu club zetu kongwe lakini bado ni omba omba, na huyo muhindi anawatongoza tu, kama mwamme anamtongoza demu kwa kuanza kumpa vizwadi, ili umtafune. tuwe makini mnatongozwa hivi hivi, ila mjue wahindi wanaoana wenyewe kwa wenyewe.
Hivi kuna mtu anamuamini Manji ?Taarifa zinasema eneo ambalo Yusuf Manji ametoa kwa timu ya Yanga kujenga uwanja wa kisasa linadaiwa kuwa katika mgogoro wa umiliki.
Source: Bin Zubeiry
Halafu hachelewi kusema naidai yanga bil 20 !Cha kupewa hakisitiri ma..tako