adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Taarifa zinasema eneo ambalo Yusuf Manji ametoa kwa timu ya Yanga kujenga uwanja wa kisasa linadaiwa kuwa katika mgogoro wa umiliki.
Chanzo: Bin Zubeiry
============================
Chanzo: Bin Zubeiry
============================
Kuna haja kubwa ya Yanga kukaa na kujitafakari na Yusuf Manji. Ulaghai anaoufanya ni wa kiwango cha lami au phd kabisa.
Tuseme ukweli. Ni mafanikio gani Manji kayaleta Yanga? Ohh msimu uliopita imeifunga Simba mara Mbili. Moja ya mafanikio makubwa. Mengine ni kupanda ndege kwenye kushiriki makombe mawili baran afrika.
Nachelea tutasikia yanga wamepewa na coco beach wajenge hotel.