Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,732
Reaction score
4,901
Taarifa zinasema eneo ambalo Yusuf Manji ametoa kwa timu ya Yanga kujenga uwanja wa kisasa linadaiwa kuwa katika mgogoro wa umiliki.

Chanzo: Bin Zubeiry

============================

Kuna haja kubwa ya Yanga kukaa na kujitafakari na Yusuf Manji. Ulaghai anaoufanya ni wa kiwango cha lami au phd kabisa.

Tuseme ukweli. Ni mafanikio gani Manji kayaleta Yanga? Ohh msimu uliopita imeifunga Simba mara Mbili. Moja ya mafanikio makubwa. Mengine ni kupanda ndege kwenye kushiriki makombe mawili baran afrika.

Nachelea tutasikia yanga wamepewa na coco beach wajenge hotel.
 
Yanga ingekuwa Serikali ilishindwa kupata eneo waliloomba Manispaa ya Ilala?
 
Siku zote najua ni timu ya kyama!
 
Mambo mengine ni iabu tu club zetu kongwe lakini bado ni omba omba, na huyo muhindi anawatongoza tu, kama mwamme anamtongoza demu kwa kuanza kumpa vizwadi, ili umtafune. tuwe makini mnatongozwa hivi hivi, ila mjue wahindi wanaoana wenyewe kwa wenyewe.
 


MLITEGEMEA ATAJIUZULU.... HAYAWI HAYAWI HAYAJAWA.

BAADA YA KUUGULIA MAUMIVU YA IDADI YA EKARI NA KUPATA NAFUU MMEAMUA KUJA NA MAKAKATI WA KUTUAMINISHA KIWANJA AMBACHO KIMEPOKELEWA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHAMA/SERIKALI NA KLABU KINA MGOGORO.....

NAONA MMESHACHANGANYIKIWA SAA HIZI.......

MMESAHAU KITALU CHENU CHA BUNJU... MNAANZQ KURUKIA YA BWANA YANGA.
 
Stend united hao wanakuja
Msimu uliopita mlishinda mechi saba mfululizo kuja kwetu tukala mzigo.... Kuna tofauti gani kati ya mavugo na kiiza au lyanga.... Ajibu mchumba anamjua vizuri beki katili Yondani
 
Mi natamani nipewe karimoti nirushe siku ya kesho ije j mosi ili hawa wanawake wa bunju wanyamaze
 
Nilijua ule ni usanii tu

Lini muhindi akawa na huruma na yynga??
Ila muhindi ana huruma na ....??
simba-kapakatwa-jpg.117564
 
Mambo mengine ni iabu tu club zetu kongwe lakini bado ni omba omba, na huyo muhindi anawatongoza tu, kama mwamme anamtongoza demu kwa kuanza kumpa vizwadi, ili umtafune. tuwe makini mnatongozwa hivi hivi, ila mjue wahindi wanaoana wenyewe kwa wenyewe.
Naona inakuuma sana timu yetu kutongozwa, kwani nani kainyima timu yenu kutongozwa?
 
Back
Top Bottom