Tutapongeza maana inazihusu timu zinazoingia robo fainali, sio zinazotolewa maana mida ya dirisha dogo huwa ndio mida ya kumalizia makundi kwenda roboMakolo yatashindwa kupongeza na hili[emoji848][emoji51][emoji51]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani Mpanzu hakuchezea Simba mechi za mwanzo kwa kuwa alikuwa amechezea timu nyingine au kwa kuwa alikuwa hajasajiliwa?[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaaah mkuu....kama tutashindwa kupongeza na hiliNyie watu upeo wenu uko chini sana, ndio maana watanzania tutaendelea kutawaliwa kijingajinga sababu ya akili kama hizi
Yaah mkuu..pia hii Sheria ni endelevu..Tutapongeza maana inazihusu timu zinazoingia robo fainali, sio zinazotolewa maana mida ya dirisha dogo huwa ndio mida ya kumalizia makundi kwenda robo
Hapana mkuu...mambo ya mikopo ...ni agreement za watu na watuApangue na Ile ya matimu mengine kuwa madaiwa sugu na waliokuwa wachezaji/kocha wake.
Yaaah the game changerEng Hersi brain of football
Kikubwa ni Kwamba... engil hersi apongezweKwani Mpanzu hakuchezea Simba mechi za mwanzo kwa kuwa alikuwa amechezea timu nyingine au kwa kuwa alikuwa hajasajiliwa?
Bongo zenu zimejikita kwenye propaganda ndiyo maana mna uwezo mdogo sana wa kujenga hoja.
UmenunaKwani Mpanzu hakuchezea Simba mechi za mwanzo kwa kuwa alikuwa amechezea timu nyingine au kwa kuwa alikuwa hajasajiliwa?
Bongo zenu zimejikita kwenye propaganda ndiyo maana mna uwezo mdogo sana wa kujenga hoja.
Hyo achana nayo mkuu ...huko ni Kwa watu wakubwaHiyo picha hapo nyuma yake ni ya nani?
Naombeni kujua jinsia zenu na umri wenu. Samahanini lakini.Umenuna
Una sababisha Mashabiki wa Yanga wote waonekane ni Oya Oya kwa ushabiki uchwara wakoYaaah mkuu....kama tutashindwa kupongeza na hili
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app