Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitambo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitambo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app