Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

Busara ( Hekima ) yako hii haipo Ubongoni mwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
 
Ungekuwa unanishobokea hapa 24/7?
Bado huna jipya

Kwa hiyo threads zako zinapaswa kusomwa na mazwazwa wenzako?

Weka angalizo kabisa ili wenye akili tuzipitie mbali.

Ignore list inakuhusu
 
Bado huna jipya

Kwa hiyo threads zako zinapaswa kusomwa na mazwazwa wenzako?

Weka angalizo kabisa ili wenye akili tuzipitie mbali.

Ignore list inakuhusu
Zwazwa atakuwa ni yule Aliyekuzaa!!!
 
Hivi Hersi anasimamia maslahi ya Yanga au GSM?

Kuna haja ya kupeleka suala la uongozi wa Hersi BMT. Kuna mgongano wa maslahi ya Wazi ya Hersi kufanya kazi kote sehemu mbili, GSM na Yanga!
Jibu ni Moja tu anasimamia maslai ya GSM, yaani yanga ni kitegauchumi cha GSM ndio maana Wala mihogo hawana nguvu ya kusema.
 
Acha majungu yako, kwanza kadi yenyewe huna
 
Hakuna kuomba msamaha hao ni mazuzu walisahili kutukanwa kwani kula mihogo ni tusi,?
 
Kama GSM mwenyewe ametulia na anakula mabaga,mapiza,mayonaizi ,makoronya,matambi,ma eggs chop,makababu na machapati chapati na amewekeza Bs ametulia tuli iweje wewe mla mihogo unalalamika?
Mihogo ni bora kuliko hivyo vyote! mihogo ni chakula original cha asili! Ni ulimbukeni tu kudhani kuwa hivyo vitu hivyo vya kigeni vina tija yoyote. Sana sana ni kusababisha matatizo ya kisukari, presha na matatizo ya moyo! Yanga furahieni sifa ya wala mihogo!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wala mihogo
 
Ukitaka kuepuka kudhalilishwa tafuta Pesa hakuna atakaye kuita mla mihogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…