Heee...jamani...yupi sasa๐๐๐Ndugu yako anataka kunivunjia mahusiano yangu๐
Kwani jamaa kada ndio bado uko nae hadi apate teuzi?Unanichekeshaga unavyoshangaa๐
Nilimwambia min -me lakini hasikii๐
Ndio mkuu nataka kua mke wa mheshimiwaโบ๏ธKwani jamaa kada ndio bado uko nae hadi apate teuzi?
Dogo anapotea mazima...huko atavalishwa mavitenge na makanga ya kijani....Kwani jamaa kada ndio bado uko nae hadi apate teuzi?
Hua anasema makonda kabubujisha wananchi machozi, nadhani akipata teuzi utabubujishwa machozi ya furahaNdio mkuu nataka kua mke wa mheshimiwaโบ๏ธ
Dada ake! wewe unamtaka yupi?๐คDogo anapotea mazima...huko atavalishwa mavitenge na makanga ya kijani....
Nyie tutaongea baadae...humu mnavuruga uzi wa GSM au twendeni kule JF snapika...sikiliza ushauri sasa๐
Usiniulize najua unajua๐ฅฐ๐ฅฐ...na ushauri nishakupa..ila unakua sio msikivu..๐๐๐โบโบโบDada ake! wewe unamtaka yupi?๐ค
๐คฃ kwa lugha nyepesi kwamb afanye uasi sio ?Kwasisi watoto wa Kota za mikocheni ,hili linamuhamasisha bwana Manara kuingia msituni na gaidi Magoma ili kuendelea kupambana na serikali ya Yanga hivyo ni suala la muda kumuona Haji akiwa porini anapambana na majeshi ya serikali ๐๐๐
Watakuwa wekundu wote...๐๐๐Hizo hasira zote leo atazimaliza kwa Zaylissa
Mchaga?๐Usiniulize najua unajua๐ฅฐ๐ฅฐ...na ushauri nishakupa..ila unakua sio msikivu..๐๐๐โบโบโบ
Kivumbiiii na Haji anakuwaga mwezi mchanga yule, sijui km atamnonino zay ๐คฃ๐คฃ๐คฃWatakuwa wekundu wote...๐๐๐