OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania?
๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mihogo ni chakula kama vyakula vingine.Yanga wanakula mihogo sana pale tawini jamgwani wanashushia na kahawa
Kwanini isiwe wala pilau, Wali au Biriani..! Umejiuliza hivyo kwanza?Kwani kusema Wala mihogo ni tusi?
Nieleweshe mkuu,huenda mimi ndio sijaelewa.
Inauma na kusikitisha sana...Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania?
Inauma na kusikitisha sana...
Sasa inamaana Utopolo wanavyojiita timu ya wananchi huyo Injinia Hersi ni kama anawachuria...? Miogo mara nyingi inaliwa na wananchi wa kawaida, wanyonge... Inamaana mashabiki wa Utopolo ni hoe hae..
Hii ndiyo tafsiri mujarab ya ule msemo usemao AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI.Kwanini isiwe wala pilau, Wali au Biriani..! Umejiuliza hivyo kwanza?
Ni sawa na upo kwenye gari halafu unamwambia mwenzako utaniambia nini wewe mtembea kwa miguu, kwani kutembelea kwa miguu ni tusi.
Kauli inaweza kutafsiriwa kuwa ya kejeli kutokana na mazingira ambayo umeitolea.