mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Hao mashabiki uchwara tuuu!mashabiki walioijua yanga kwenye kideo cha azam ndo wanaropokaropoka!ila mashabiki tunaoijua yanga na kujua mpira!tunaelewa soka lina matokeo matatu!hakuna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnaouelewa mpira si ndiyo mnasema matokeo yana mipira mitatuai au siyo nyie?Hao mashabiki uchwara tuuu!mashabiki walioijua yanga kwenye kideo cha azam ndo wanaropokaropoka!ila mashabiki tunaoijua yanga na kujua mpira!tunaelewa soka lina matokeo matatu!hakuna jipya
Hapo hakuna watu wa mpira ni wajanjajanja tu
Sijui wanapata faida gani, ila nimegundua mashabiki wengi hawajui namna ya kuongea na vyombo vya habari...Ila watu mnajua kukuza sana mambo aisee.
Na wengi wanahojiwa wakiwa na hasira na hapo ndo kila mmoja anaropoka la kwake.Sijui wanapata faida gani, ila nimegundua mashabiki wengi hawajui namna ya kuongea na vyombo vya habari...
Kubebwa si hoja, akikosea akemewe.
Ila hawa watopolo wapumbavu sana
Au mtu akutusi na kipaso chako wakiitwa wenye magari na ww utatoka hicho ni kama nyongeza tu ukinunua gari.Kwanini isiwe wala pilau, Wali au Biriani..! Umejiuliza hivyo kwanza?
Ni sawa na upo kwenye gari halafu unamwambia mwenzako utaniambia nini wewe mtembea kwa miguu, kwani kutembea kwa miguu ni tusi.
Kauli inaweza kutafsiriwa kuwa ya kejeli kutokana na mazingira ambayo umeitolea.
Kabisa mkuuMihogo ni chakula kama vyakula vingine.