Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

Wapuuzi pekee ndiyo watakasirika, kuitwa mla mihogo uchukie? Je angesema wanywa gongo? Mihogo ilivyo mitamu tena ile ya unga halafu iwe imepasuka pasuka 😋😋😋😋

#Yangadaimambelenyumamwiko#
#Walamihogowajangwani#
 
Back
Top Bottom