Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1.Hawana akili wote isipokua watu wawili - Haji Manara El Buggati Afisa Hamasa Yanga Africa
2. Manyani - Luc eymael Former coach Dar Young Africa
3. Mna kinyesi kwenye pupi - Wallace karia TFF president
4. Wala Mihogo - Hon Eng Hersi Said Le president Young Africa
 
Kwani kusema Wala mihogo ni tusi?
Nieleweshe mkuu,huenda mimi ndio sijaelewa.
Kwanini isiwe wala pilau, Wali au Biriani..! Umejiuliza hivyo kwanza?

Ni sawa na upo kwenye gari halafu unamwambia mwenzako utaniambia nini wewe mtembea kwa miguu, kwani kutembea kwa miguu ni tusi.

Kauli inaweza kutafsiriwa kuwa ya kejeli kutokana na mazingira ambayo umeitolea.
 
Inauma na kusikitisha sana...

Sasa inamaana Utopolo wanavyojiita timu ya wananchi huyo Injinia Hersi ni kama anawachuria...? Miogo mara nyingi inaliwa na wananchi wa kawaida, wanyonge... Inamaana mashabiki wa Utopolo ni hoe hae..
 
Msomali hana adabu kabisa huyu, yeye wa kuwaita ndugu zetu wa damu kbisa wala mihogo? Huyu apigwe chini na gsm wake.
 
Hii ndiyo tafsiri mujarab ya ule msemo usemao AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…