Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

Shadeeya na Numbisa msomi wa kabumbu kama kawaida yake alitinga ulingoni. Tatizo hashauri ni nani katika Dunia hii anaweza kutimiza ndoto zake ili yanga yetu iwe imara. Afukuzwe ni neno rahisi, je akifukuzwa nani awekwe, hilo silioni. Sisi wasomaji wako wa muyinga mkuu ngara23
 
Kama kweli wewe ni mtu wa football unavyosema niambie ilimchukua muda gani Nabi kupata first eleven yake?
 
Amekuta timu tayari ina first eleven
Diarra alikuwepo
Mwenda alikuwepo
Baca alikuwepo
Boka alikuwepo
Job alikuwepo
Andabwile/ Conte
Mudathiri alikuwepo
Max alikuwepo
Pacome alikuwepo

Yaani huyo coach kilaza anashindwa ku switch maingizo 5 kwenye kikosi kilichobeba ubingwa akapata first 11 nzuri
 
Kuna fidia lazima timu inayomhitaji kocha itapaswa kutolewa kwa Yanga, lakini pia baadhi ya mikataba ya machoka inaweza ikawa na release clause. Haya yote Yanga wenyewe wanajua.
 
Watu mnasahau mapema sana
Nabi ilimchukua muda. Nakumbuka game yake ya kwanza ilikuwa dhidi ya Azam kama sikosei, tukapigwa na Dube. Timu ilikuwa mbovu, mpira haueleweki.

Nabi akatengeneza timu kwa counter attacts na kutegemea wings, aliyekuja na total football na kuifanya Yanga kuwa Solid ni Gamond.

Ofkoz, Nabi ilimchukua miezi kuunda kikosi chake cha kwanza japo hakukuta Yanga ina squad nzuri kama msimu wake wa pili uliofuata.
 
Nabi ilimchukua muda kwasababu ya maingizo mengi ya wachezaji wapya. Ila Folz ana sababu gani ya kuchukua muda mrefu wakati aliyeondoka katika kikosi cha kwanza ni Khalid Aucho pekee?
 
Una knowledge ya ukocha mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…