Yanga hii ambayo imekataa kumuuza Mzize kwa zaidi ya 5Bilv(Nikirejea kauli ya Engineer) ije kuvizia hela ya fidia ya kocha ambayo haiwezi fika hata mil 100Kuna fidia lazima timu inayomhitaji kocha itapaswa kutolewa kwa Yanga, lakini pia baadhi ya mikataba ya machoka inaweza ikawa na release clause. Haya yote Yanga wenyewe wanajua.
Viongozi wako wamekuletea mzee wa tattoo pale Msimbazi, vipi taarifa unayo?Kocha wetu huyuhuyu tunampenda aendelee kubaki. Engineer Hersi wewe ni tembo usisikilize kelele za chura
Nawalaumu sana viongozi wangu kutopitia vizuri CV yako. ile vacancy unadeserve wewe mwenye mwikoViongozi wako wamekuletea mzee wa tattoo pale Msimbazi, vipi taarifa unayo?
Sawa we-kundu wa MsimbaziNawalaumu sana viongozi wangu kutopitia vizuri CV yako. ile vacancy unadeserve wewe mwenye mwiko
ndo nini sasa!?Sawa we-kundu wa Msimbazi
vizuri tu, ila raisi wetu Bwa. Hersi ni msikivu sana Romain Folz kocha wetu kipenzi hatomfukuza kwa taarabu zenuUmbumbumbuni hapo mmeletewa mvuta shisha
aise we jamaa ni choco pro max sasa kama unalijua hilo kwanini usitulize kipwinto instead kukicha unaazisha threads "foloz atoke", au una mimba changa?Hamfukuzi ili kwanza awafunge mbumbumbu mar ya 7 mfululizo
Huu Uzi wangu ni Kwa ajili ya watu wenye akili ila kama mbumbumbu huwezi kuelewaaise we jamaa ni choco pro max sasa kama unalijua hilo kwanini usitulize kipwinto instead kukicha unaazisha threads "foloz atoke", au una mimba changa?
unahakika kijijini kwenu wewe ni miongoni mwa watu wenye akili?Huu Uzi wangu ni Kwa ajili ya watu wenye akili ila kama mbumbumbu huwezi kuelewa
raisi wetu Bwa. Hersi ameyapokea maoni yako anasema atampa contract extensionMpeni muda.