Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Sisi mashabiki wa Yanga tuna imani na timu yetu! Ishinde, itoe sare! Ifuzu! Ishindwe kufuzu! Bado Tutaiunga mkono mwanzo mwisho! Na wala hatushwi na kelele kutoka kwa mashabiki wa timu nyingine, na wasio jitambua.
Ukiona over reaction ya mashabik wenu jana na namna yanavyotokwa povu ndo utaamin kwel huwa hamjielew .....kwamba mpira una matokeo matatu...mtu anadiriki kutukana kisa timu imetoa sare...kiujumla hamna uvumilivu
 
Dahhhhh inauma sana. Hali ya kimataifa inanajisi matokeo mazuri ya ligi na kuonekana ni matokeo ya bahasha.Inakera sana
 
Sisi mashabiki wa Yanga tuna imani na timu yetu! Ishinde, itoe sare! Ifuzu! Ishindwe kufuzu! Bado Tutaiunga mkono mwanzo mwisho! Na wala hatushwi na kelele kutoka kwa mashabiki wa timu nyingine, na wasio jitambua.
Yale majigambo.?
 
Ukiona over reaction ya mashabik wenu jana na namna yanavyotokwa povu ndo utaamin kwel huwa hamjielew .....kwamba mpira una matokeo matatu...mtu anadiriki kutukana kisa timu imetoa sare...kiujumla hamna uvumilivu

Yanga ni timu yenye mamilioni ya mashabiki duniani kote! Mashabiki wawili hawawezi kamwe kubeba hisia na dhamana ya mashabiki wengine waliobaki!

Na ndiyo maana mpaka kesho natambua fika siyo mashabiki wote wa simba ni mbumbumbu! Hata mtoa kauli Ismail Aden Rage, naamini na yeye analitambua hilo.
 
Mijitu mingine nuksi kweli mkuu
Nuksi kwa nini, naby anaharibu timu yangu.
Kwa nini toto asimuweke namba kumi
Bangala namba sita
Na kwa nini benard kafanyiwa sub
Kisinda kaingia kwa mpira upi

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
Picha ya kitabu inasadifu yaliyomo ndani
 
Ebu hizi topic tuongelee kesho.
Kesho vipi mkuu, yetu yanatushinda tuangalie ya watu wengine!!??
Tuache kuwa kama wachawi yanga

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
Acha kuvuta bangi. Haikupendi.
 
Kipindi hao uliowataja hawapo team ilikuwa na mafanikio gani kimataifa??
Sitakujua lakini nimechoka kuwa wa mavumbini kila siku

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
Simba kwa mkapA hatoki mtu,lakini hao wengine hawalijui hilo
Hongereni wanalunyasi mnajitahidi sana!

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
Mleta mada wewe ni kolo tafadhali sana usiingilie timu yetu unashindwa nini kumpa mbinu Mgunda na Barbara ili mshinde huko Angola. Kudhihilisha wewe ni kolo na hujui kinachoendelea timu ya wananchi unadhani Senzo bado anafanya kazi Yanga sc.
Kwa akili zetu za usiku ndio maana kimataifa tunapigwa, yaani mimi ni yanga unaniita kolo??

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
We kolo dili na timu yako acha ujinga
we ndo mjinga, unapumbazwa na mechi za ligi kuu! shtuka unaibiwa

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
hatuwezi kupindua meza kwa mpira ule wa wapinzani

#π™£π™–π™—π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
#π™π™šπ™§π™¨π™ž 𝙀π™ͺ𝙩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…