Ukiona over reaction ya mashabik wenu jana na namna yanavyotokwa povu ndo utaamin kwel huwa hamjielew .....kwamba mpira una matokeo matatu...mtu anadiriki kutukana kisa timu imetoa sare...kiujumla hamna uvumilivuSisi mashabiki wa Yanga tuna imani na timu yetu! Ishinde, itoe sare! Ifuzu! Ishindwe kufuzu! Bado Tutaiunga mkono mwanzo mwisho! Na wala hatushwi na kelele kutoka kwa mashabiki wa timu nyingine, na wasio jitambua.