Eng Hersi Tangu awe Rais vilabu barani Afrika pamoja na kujihusisha na sera za CCM, Yanga inaelekea kuzama na haitoibuka kamwe!

BANENI TOM

Member
Joined
Dec 14, 2023
Posts
5
Reaction score
36
Poleni Young Africans lakini huo ndiyo ukweli ambao wengi wenu hawataki kuusikia kamwe!.

Msimu huu wa Mwaka 2023/2024 Bingwa wa ligi ya NBC ni AZAM SPORTS CLUB!.

Naomba kama kuna mtu anabisha kuhusu hili suala awake pesa ili tusibishane kwa maneno!.Ndugu zangu mimi ni shabiki lialia wa Mnyama wa mwituni mwenye njaa kali a.k.a Simba!.

Nimejaribu kuangalia mambo yanayofanywa na viongozi wa Simba yangu a.k.a simba sports club pamoja na mtani wangu wa pale mitaa wa Twiga & Jangwani almaafufu kama Young Africans a.k.a Utopwinyo Utopolo!.

Nilichokuja kugundua ni kwamba,huyo Eng Hersi ni muhuni kama wahuni wengine waliopita pale Young Africans,hakuna cha kujenga Uwanja wala bibi yake na Uwanja!.

Eng Hersi ashukuru sana yule Kocha Nabi kumpeleka Fainali kwenye Kombe la waliofeli la shirikisho lakini tofauti na hapo alikuwa anaula wa chuya!

Eng Hersi hivi sasa hakuna cha maana atakachokifanya zaidi ya kuwaongopea Nyuma Mwiko atafanya makubwa kama anavyotuongopea Mangungu na mjinga mwenzie Mangungu!.

Hizi timu za Kariakoo siyo kwamba zinashindwa kujenga viwanja vyao wenyewe sema shida ni tantarira za kufa mtu!.

Siku azam wakiwa na akili timamu nitaanza rasmi kuwashabikia azam lakini kwa sasa ngoja niwape muda Utopolo & makolo nione kama watabadirika!

Makolo -Ujenzi wa Uwanja Bunju

Utopolo - Ujenzi wa Uwanja Kaunda
 
Unaweza kuwa na hoja! ila lugha uliyotumia sasa kuwasilisha hiyo hoja yako, ndiyo imejaa utoto mwingi.
 
bado wazenji wa mlandege wamewavuruga
 
Siyo Rais bali ni mwenyekiti wa vilabu vya mpira Africa
 
Back
Top Bottom