Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Kuna mambo hapa yanahitaji ufafanuzi zaidi.

1. Majaliwa kafungua mlango upi??

Wa dharura au wa kawaida??

2. Engineer Victor kafungua mlango upi??

Wa kawaida au wa dharura??

3. Je mlango alioufungua Majaliwa ndio huo huo aliofungua victor??

4. Je mlango wa kawaida unafunguliwaje katika mazingira ya dharura?

5. Je Mlango wa dharura unafunguliwa namna gani.

Tupate majibu ya haya ili tujue nani mkweli na nani muongo.

.
 
Naona kila mmoja anatafuta umaarufu
 
Kwa kuandika story hamjambo utadhani mlikuwepo? Huyo mhudumu mbona ali kufa?
Mie nmecopy maelezo ya manusura wawili..... Kingine mhudumu yupo hai unless una comment wakati hata hujafuatilia whole story. In fact wahudumu wawili walipona kwenye ajali Sasa sijui hiyo story Yako kuwa wahudumu wote walikufa umeitoa wapi.
 
Kwani shida ni majaliwa kufungua mlango? Huyu injinia alipofungua mlango watu walikuwa wanaokolewa na nani? Yeye mwenyewe alishikilia mlango akiwa kwenye mtumbwi wanani? Ndege ilikuwa kwenye maji, yeye anafungua mlango ili maji yaingie au abiria wajidumbukize kwenye maji?

Kwa hio tuseme abiria 24 walijiokoa wenyewe, hapana, kuna watu walijitoa muhanga na kiongozi aliyewahamasisha ni majaliwa
 
Natamani nikutukane! Kwanini hutumii akili kufikiri sawa sawa? Au akili yako ni duni sana.
 
Aisee kumbe yule Majaliwa aliokoa mabegi tu tena kwa maelekezo ya huyu Victor.

Asiee dogo majaliwa kapiga pesa za wazembe mchana kweupe na ulinzi juu wamempa ๐Ÿ˜ƒ
 
Emergency exit inafunguliwa manually tu sio kwamba Kuna kitufe kinahitaji umeme au mfumo wa kilektroniki ila tu inahitaji utaalamu Ili kuweza kuung'oa maana una maeneo ya kuulegeza kabla ya kuusukuma nje
Kabla ya kuusukuma nje! Majaliwa alikuwa nje! Aliwe aje kuusukuma mlango nje? Au aliubutua a kaingia nao ndani?
 
Maelezo ya Majaliwa yamenyooka ila huyu Injinia maswali ni mengi bwashee

Katika hatari kama ile nguvu ya kutafuta begi unaitoa wapi?
Hili la mabegi muulizeni huyo majaliwa maana yeye ndiyo alijikita kwenye kuokoa mabegi tu alafu akawapanga mkajaa ๐Ÿ˜€
 
Lakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Kwa maelezo ya Engineer ni kwamba hio milango inafunguka kwa hydrolic,lazima itakuwa milango imara sana hasa ukizingatia haipaswi kufunguka ndege ikiwa mid air pamoja na presha ya angani

Hata mlango wa Allex Mkuu huwezi kupiga kwa kasia ambalo kimsingi ni jepesi
 
Hili la mabegi muulizeni huyo majaliwa maana yeye ndiyo alijikita kwenye kuokoa mabegi tu alafu akawapanga mkajaa ๐Ÿ˜€
Victor ndio anapiga fix

Majaliwa baada ya kuwafungulia mlango aliwaachia Majukumu Wavuvi wenzake yeye akaenda kujaribu kumnusuru dereva

Nani alimzuia Majaliwa kuvunja dirisha la Rubani Wenye akili tunakaribia kumng'amua!

Ngoja nigonge kaulasi bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ