Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wale warembo walipona asee😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale warembo walipona asee😂
Mbona magari yanapata ajali lakini hatukomi kupanda?!Kapanda tena plesisheni hakomi
Naona kila mmoja anatafuta umaarufuEng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Source: WASAFI TV
Mie nmecopy maelezo ya manusura wawili..... Kingine mhudumu yupo hai unless una comment wakati hata hujafuatilia whole story. In fact wahudumu wawili walipona kwenye ajali Sasa sijui hiyo story Yako kuwa wahudumu wote walikufa umeitoa wapi.Kwa kuandika story hamjambo utadhani mlikuwepo? Huyo mhudumu mbona ali kufa?
[emoji23][emoji23]Kapanda tena plesisheni hakomi
Natamani nikutukane! Kwanini hutumii akili kufikiri sawa sawa? Au akili yako ni duni sana.Kwani shida ni majaliwa kufungua mlango? Huyu injinia alipofungua mlango watu walikuwa wanaokolewa na nani? Yeye mwenyewe alishikilia mlango akiwa kwenye mtumbwi wanani? Ndege ilikuwa kwenye maji, yeye anafungua mlango ili maji yaingie au abiria wajidumbukize kwenye maji?
Kwa hio tuseme abiria 24 walijiokoa wenyewe, hapana, kuna watu walijitoa muhanga na kiongozi aliyewahamasisha ni majaliwa
Majiliwa aliokoa mabegi tu tena alikua anayasachi huyu.Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Ukweli tunaujua ni kwamba majaliwa amewatapeli watu na mavitambi yao.Serikali ilikosea kuhusu Majaliwa. Ila sote hatuujui ukweli
Dogo amewaingiza mjini hadi mkampa askari na SMG ya kumlinda 😆WASAFI TV
Maelezo ya Majaliwa yamenyooka ila huyu Injinia maswali ni mengi bwasheeDogo amewaingiza mjini hadi mkampa askari na SMG ya kumlinda 😆
Kabla ya kuusukuma nje! Majaliwa alikuwa nje! Aliwe aje kuusukuma mlango nje? Au aliubutua a kaingia nao ndani?Emergency exit inafunguliwa manually tu sio kwamba Kuna kitufe kinahitaji umeme au mfumo wa kilektroniki ila tu inahitaji utaalamu Ili kuweza kuung'oa maana una maeneo ya kuulegeza kabla ya kuusukuma nje
Hili la mabegi muulizeni huyo majaliwa maana yeye ndiyo alijikita kwenye kuokoa mabegi tu alafu akawapanga mkajaa 😀Maelezo ya Majaliwa yamenyooka ila huyu Injinia maswali ni mengi bwashee
Katika hatari kama ile nguvu ya kutafuta begi unaitoa wapi?
Maybe wakati Wana struggle kuufungulia from inside yeye akatoa support akiwa nje!! Ila emergency exit inafunguliwa kutoka ndani kuja nje sio nje to ndani.Kabla ya kuusukuma nje! Majaliwa alikuwa nje! Aliwe aje kuusukuma mlango nje? Au aliubutua a kaingia nao ndani?
Kwa maelezo ya Engineer ni kwamba hio milango inafunguka kwa hydrolic,lazima itakuwa milango imara sana hasa ukizingatia haipaswi kufunguka ndege ikiwa mid air pamoja na presha ya anganiLakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Wote matapeli hakuna wa kumwamini tushukuru M7NGU JAMBO LIMEISHA KWA HAO WACHACHE KUPONABwashe huu uzi una kila dalili ya uchochezi. Wenye Majaliwa wao unataka kuwaambia nini?
Victor ndio anapiga fixHili la mabegi muulizeni huyo majaliwa maana yeye ndiyo alijikita kwenye kuokoa mabegi tu alafu akawapanga mkajaa 😀