Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
hahhaKapanda tena plesisheni hakomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhaKapanda tena plesisheni hakomi
[emoji3][emoji3][emoji28]Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
Toka ajari hii ilipotabiriwa humu jf nilianza kujiseti ili kuona watu watakaowahi fursa.Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
🤣🤣😅😅😅😄😄😃😃😃😆😆😁😁😅😅😄Alipiga mlango wa Mchongo alioandikiwa kwenye Script ya Mchongo, hapo vipi umefurahi?
Kijani Imetuweza SanaUkipiga kasia moja tu unafunguka
Mkuu kwa hili suala hata mtoto wa vidudu hawezi kukubali.Huenda Dunia nzima walishatushangaa wakachoka wakaona Bora watuache tubaki na upuuzi na ujinga wetu.
Kunakipindi tunageuzwa watoto wa chekechea tunafit tu, muda mwingine vipofu napo tunafit tu, viziwi napo sawa kabisa, tusiojua kusoma na kuhesabu yaani tunafit kabisa. Sasa Dunia itusaidiaje ndugu zangu..........!
Mkuu toka mwanzo tuliokuwa tunapinga utapeli huu tulionekana wachocheziPumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
Inaleta tashwishwi maana huwezi piga mlango kwa Kasia ukafunguka tene ukiwa nje ya ndegeKwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Mkuu kinachotufanya wengi tudoubt washiriki wa kuokoa they were so many kwanini amulikwe mvuvi mmoja tu??Dakika au Sekunde ?, Si angeweka kitu kama Kasia au mikono yake haikuchoka ?
Unajua dakika 60 ni saa nzima ? Kwahio yeye katika Uokozi huu alishiriki kushikilia mlango ?
Hii kitu tangia itokee inaleta maswali mengi kuliko majibu na huenda ukweli mwisho wa siku ukawa ni wa version kama tano au sita hivi....
Hii sentence imenichekesha sana, hadi abiria wenzagu kwenye Daladala wamenishangaa kwa kucheka kwa nguvu!!!Kapanda tena plesisheni hakomi
Moja ya kanuni za TANU,,,nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.Kijani Imetuweza Sana
Ndege ikipata ajali milango ya dharura inatumika ambayo inafunguka mechanically hata kama hakuna umeme...milango unayozungumza wewe inafunguliwa na rubani ndege ikitua salama...kasia inaweza kutumika kama umejamMkuu umemwanga point moja ya msingi ambayo watu hawaioni,
Kukumbukwa mabegi wakati Watu hawajaokolewa wote?!!Ni ngumu sana mtu aliye ndani ya ndege kukumbuka haya anayosema....hao akina dada dada aliojadiliana afungue mlango karkari ya taharuki ....labda atusaidie kama rubani walitoa tangazo la tatizo lolote kwenye ndege na kuamua kutua au ndege ilianguka ghafla bila taarifa...je marubani walipotezaje maisha?
Sent using Jamii Forums mobile app