Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
[emoji3][emoji3][emoji28]
 
Huenda Dunia nzima walishatushangaa wakachoka wakaona Bora watuache tubaki na upuuzi na ujinga wetu.

Kunakipindi tunageuzwa watoto wa chekechea tunafit tu, muda mwingine vipofu napo tunafit tu, viziwi napo sawa kabisa, tusiojua kusoma na kuhesabu yaani tunafit kabisa. Sasa Dunia itusaidiaje ndugu zangu..........!
Mkuu kwa hili suala hata mtoto wa vidudu hawezi kukubali.
 
IMG-20221114-WA0002.jpg

Ukipiga kasia moja tu unafunguka
 
Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
Mkuu toka mwanzo tuliokuwa tunapinga utapeli huu tulionekana wachochezi
 
Dakika au Sekunde ?, Si angeweka kitu kama Kasia au mikono yake haikuchoka ?

Unajua dakika 60 ni saa nzima ? Kwahio yeye katika Uokozi huu alishiriki kushikilia mlango ?

Hii kitu tangia itokee inaleta maswali mengi kuliko majibu na huenda ukweli mwisho wa siku ukawa ni wa version kama tano au sita hivi....
Mkuu kinachotufanya wengi tudoubt washiriki wa kuokoa they were so many kwanini amulikwe mvuvi mmoja tu??
 
Shujaa Majaliwa Awahi Kule Chogo Handeni, Tanga Ambako Chuo Kipo Vinginevyo Wasanuaji Wanamwaga Mboga Mchana Kweupe!!!

Siku si nyingi utaona mtu kajitolea Toyota Alllex yake inapigwa mlango kwa kasia
 
Ni ngumu sana mtu aliye ndani ya ndege kukumbuka haya anayosema....hao akina dada dada aliojadiliana afungue mlango karkari ya taharuki ....labda atusaidie kama rubani walitoa tangazo la tatizo lolote kwenye ndege na kuamua kutua au ndege ilianguka ghafla bila taarifa...je marubani walipotezaje maisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukumbukwa mabegi wakati Watu hawajaokolewa wote?!!

Injinia akili zake kama Daudi Mchambuzi
 
Back
Top Bottom