Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Kwahiyo huyo mhudumu baada ya bonyeza mlango afu na yeye aka amua afie ndani ya ndege? Tz ni Taifa la Wajinga hadi Ma Eng wa wasio weza tengeza hata Ufagio wa chooni.
Hakuna mhudumu aliyefia kwenye ndege
Wahudumu wote wawili walipona,isipokuwa rubani mkuu na msaidizi wake ni kati ya watu 19 waliopoteza maisha.
 
Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.

Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Kaingia Bungeni atatokezea IKULU huyoooooo faya brigedi.....
 
K
Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka

Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic

Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona

Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi

Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.

Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili

Source: WASAFI TV
Kwa hiyo huyu Eng. Ndiye aliyewatoa watu 24 ziwani na kuwaleta nchi kavu? #Majaliwa shujaa.🙏🙏🙏
 
Kwa waliopanda ndege, milango ya Ndege hufunguliwa tokea ndani, lakini kuna malalamiko mengitu ya kwamba Majaliwa alishirikiana na wavuvi wengine, wako abiria wanakiri aliyefungua mlango wa ndege nia "air hostess" TZ nchi ya dili, lakini si shangai munakumbuka issue ya "TETEMEKO HALIKULETWA NA SERIKSALI" Kagera Land of fire....
huenda huyo 'Air hostess' alifungua mlango baada ya majaliwa kuupiga kasia na ukalainika.lakini mbona hayo maelezo ya kumponda majaliwa yameibuka baada ya majaliwa kupata promo ya kutosha?hiyo day one injinia alikuwa wapi kutoa maelezo yake? kuna dalili ya wvu hapa dhidi ya majaliwa
 
Sasa yeye alivyowashikilia mlango wenzie kwann akusubilia watoke wote....hafu kwann amtume mvuvi akamchukulie begi lake...na kama mlango audrolic huyo mvuvi aliyemtuma alipitia wapi....Njaaa zingine zitawaua anapepeta mdomo tu ..labda anahisi nae atapewa fulsa aliyopata dogo.

Aache ushamba ...
Injinia anatafuta kuganga njaa,lkn uki-connect dots maelezo yake yanaleta mashaka makubwa
 
Nilipofungua nikaushikilia mlango kwa dakika 40-60 akatokea kijana mmoja mdogo mdogo akawa anatafuta mabegi. Kwa maelezo ya Victor Majaliwa alikua busy kwenye mabegi na lake hajaliona, hapo ndo tatizo lilipoanzia. Mi nadhani majaliwa angempa begi lake Victor tusingefika hapa.
 
Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka

Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic

Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona

Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi

Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.

Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili

Source: WASAFI TV
ni kweli hiyo hutokea, unakuwa na nguvu na ujasiri wa ajabu - hata yeye Victor ukimuuliza nguvu na ujasiri alitoa wapi hawezi kujua.

Mungu huwatumia baadhi ya watu kwa muda ili kufanikisha jambo lake.
 
Bwashe huu uzi una kila dalili ya uchochezi. Wenye Majaliwa wao unataka kuwaambia nini?
Kwenye dots hakuna utata, sababu majaliwa baada ya kufungua mlango kwa nje na Engineer kuendelea kuushikilia usijifunge basi Majaliwa alichumpa kwenda kwa marubani na kuanza kurukushani ya kufungua mlango wao hadi pale alipoambiwa mamlaka zinawasiana nao asivunje, so Majaliwa hakuwa na la kufanya bali kuwapungia mkono wa buriani Marubani hao. (Sasa kama unacheki muvi hapa ndipo lazima utoke machozi)
 
huenda huyo 'Air hostess' alifungua mlango baada ya majaliwa kuupiga kasia na ukalainika.lakini mbona hayo maelezo ya kumponda majaliwa yameibuka baada ya majaliwa kupata promo ya kutosha?hiyo day one injinia alikuwa wapi kutoa maelezo yake? kuna dalili ya wvu hapa dhidi ya majaliwa
Tungeona wivu kwa Big Majaliwa (waziri mkuu)
 
Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
IMG-20221114-WA0002.jpg
 
huenda huyo 'Air hostess' alifungua mlango baada ya majaliwa kuupiga kasia na ukalainika.lakini mbona hayo maelezo ya kumponda majaliwa yameibuka baada ya majaliwa kupata promo ya kutosha?hiyo day one injinia alikuwa wapi kutoa maelezo yake? kuna dalili ya wvu hapa dhidi ya majaliwa
Wivu ili kiwe nini?
Ndio maana mnatawaliwa kirahisi wagumu kufikiri
 
Back
Top Bottom