Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Mungu humwinua huyu na kumshusha yule. Hongera MAJALIWA maana Mungu amekuinua.
Kwahio kaleta ajali ili mmoja ainuliwe ?, Na kuinuliwa ni kufanya nini Kupata pesa kadhaa na ajira ?, Kwanini asingenyanyuka tu kwa kuokota/ kuvua almasi badala ya samaki akiwa kwenye kazi zake za kila siku ?
 
Aisee kuna mahali tunapigwa ndugu zangu,Hivi ndege hazina Cctv?
Umeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,

Jana tu nimememkuta akipitia video za nyuma ili kujua nini kimekula magazet yake ndo tukaona kumbe kuna panya mmoja ndo alikuwa anatafuna
 
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili

Source: WASAFI TV
Huyu ni msenge mmoja ambaye kichwa chake kina umeme mdogo.
Anaposema alijiokoa na kuokoa wengine, ina maana aliwabeba majeruhi wote mgongoni hadi nchi kavu?
Wavuvi wasingefika eneo la tukio na mitumbwi yao, leo hii angekuwa hai?
 
Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Mkuu inawezekana kuwa wakati anapiga na kasia then mlango ukafunguliwa kwa ndani lakini yeye akajua kasia lake ndilo limefungua mlango
 
Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka

Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic

Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona

Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi

Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.

Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili

Source: WASAFI TV

"Majaliwa ni kijana wetu wa Chama pale Ofisini".

Hayo ni maneno aliyoongea Katibu wa CCM wa mkoa wa Kagera.



Sikiliza kuanzia dakika ya 3:10 hadi 3:38
 
Umeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,

Jana tu nimememkuta akipitia video za nyuma ili kujua nini kimekula magazet yake ndo tukaona kumbe kuna panya mmoja ndo alikuwa anatafuna
Asee
 
Watakuja wengi, aliyepata kapata.

Hongera kwa kuokolewa, umshukuru Mungu.
 
Wivu ili kiwe nini?
Ndio maana mnatawaliwa kirahisi wagumu kufikiri
we ndo umefikiri nini sasa?kwa hiyo wewe kwenye sentensi nzima umekunwa na neno 'wivu' tu badala ya kuchukua comment yangu katika ujumla wake,halafu eti unajiona na wewe ni critical thinker,pathetic
 
Kwa nini sasa rubani wote walipoteza maisha. Huko cockpit mlango ulikuwaje? Mnatuchanganya. Unajiribu kuufungua mara tatu😉 Huyo /hao wahudumu walikuwa wapi mpaka uhangaike hivyo? Kwa nini marubani hawakupitia mlango uliofunguliwa?? Hebu tusubiri riport
 
Kwa nini sasa rubani wote walipoteza maisha. Huko cockpit mlango ulikuwaje? Mnatuchanganya. Unajiribu kuufungua mara tatu[emoji6] Huyo /hao wahudumu walikuwa wapi mpaka uhangaike hivyo? Kwa nini marubani hawakupitia mlango uliofunguliwa?? Hebu tusubiri riport
Mkuu ujue kabla ya kufika kwa rubani napo pana mlango pia nahisi hio ndio ilisababisha hata washindwe kutoka
 
Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.

Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Lakini mhudumu yaonyesha alifungua mlango WA Dharura. Kwahiyo huenda Majaliwa alihusika Kwenye mlango WA kawaida.
 
Back
Top Bottom