Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hebu tutafute picha ya kasia tulijue 😅Jamani mtuache sisi hatutaki kucheka! Tena mtuache kabisa!! Kwahiyo kijana alipiga kasia wapi mlango wa namna hiyo ukafunguka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tutafute picha ya kasia tulijue 😅Jamani mtuache sisi hatutaki kucheka! Tena mtuache kabisa!! Kwahiyo kijana alipiga kasia wapi mlango wa namna hiyo ukafunguka?
Kwahio kaleta ajali ili mmoja ainuliwe ?, Na kuinuliwa ni kufanya nini Kupata pesa kadhaa na ajira ?, Kwanini asingenyanyuka tu kwa kuokota/ kuvua almasi badala ya samaki akiwa kwenye kazi zake za kila siku ?Mungu humwinua huyu na kumshusha yule. Hongera MAJALIWA maana Mungu amekuinua.
Umeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,Aisee kuna mahali tunapigwa ndugu zangu,Hivi ndege hazina Cctv?
Inaweza kuwa wakati Majaliwa anapiga mlango na kasia then Muhudumu naye akabonyeza ile button, so Majaliwa akajua yeye na kasia lake ndiyo wamefungua mlangoLakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Huyu ni msenge mmoja ambaye kichwa chake kina umeme mdogo.Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Source: WASAFI TV
Mkuu inawezekana kuwa wakati anapiga na kasia then mlango ukafunguliwa kwa ndani lakini yeye akajua kasia lake ndilo limefungua mlangoTukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Source: WASAFI TV
Umeua mazima.Mkuu inawezekana kuwa wakati anapiga na kasia then mlango ukafunguliwa kwa ndani lakini yeye akajua kasia lake ndiyo limefungua mlango
AseeUmeonaeh, yani ndege inatembea kibubububu tu akuna hata mfumo wa video juu ya mwenendo wake hii ni shida, precision wanazidiwa na mangi hapa jirani kaweka kamera dukani kwake kila kitu anakiona kwenye screen yake ya sunder,
Jana tu nimememkuta akipitia video za nyuma ili kujua nini kimekula magazet yake ndo tukaona kumbe kuna panya mmoja ndo alikuwa anatafuna
Kabisa mkuu, Majaliwa hana utaaramu wa mlango wa ndege, so moja kwa moja alijua kasia lake ndilo limefungua mlangoUmeua mazima.
Tumshukuru kwa uthubutu
we ndo umefikiri nini sasa?kwa hiyo wewe kwenye sentensi nzima umekunwa na neno 'wivu' tu badala ya kuchukua comment yangu katika ujumla wake,halafu eti unajiona na wewe ni critical thinker,patheticWivu ili kiwe nini?
Ndio maana mnatawaliwa kirahisi wagumu kufikiri
huyo siyo subject matter ya thread hii,similarities ya majina haijalishi na hai-correlate subject matter under discussionTungeona wivu kwa Big Majaliwa (waziri mkuu)
Hakuna mhudumu aliyekufa waliokufa ni rubani na msaidizi wakeKwa kuandika story hamjambo utadhani mlikuwepo? Huyo mhudumu mbona ali kufa?
Mkuu ujue kabla ya kufika kwa rubani napo pana mlango pia nahisi hio ndio ilisababisha hata washindwe kutokaKwa nini sasa rubani wote walipoteza maisha. Huko cockpit mlango ulikuwaje? Mnatuchanganya. Unajiribu kuufungua mara tatu[emoji6] Huyo /hao wahudumu walikuwa wapi mpaka uhangaike hivyo? Kwa nini marubani hawakupitia mlango uliofunguliwa?? Hebu tusubiri riport
Hizo ni propaganda kama zile za maji maji, yeye mwenyewe Majaliwa hajui alifanyajeKwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
Lakini mhudumu yaonyesha alifungua mlango WA Dharura. Kwahiyo huenda Majaliwa alihusika Kwenye mlango WA kawaida.Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.
Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Duh!.Bwashe huu uzi una kila dalili ya uchochezi. Wenye Majaliwa wao unataka kuwaambia nini?