Ha ha ha haaaa....
Ila logically inawezekana yeye alikuwa anagonga gonga kumbe ndani tayari wanafungua hence yeye kudhani ndio amefungua kumbe umefunguliwa na mwingine... (wala hapo sioni tatizo)
Nadhani tatizo hili limetokea kwa Serikali kujifanya wajuaji na wana-uchungu sana wa kuwakumbuka na kuwazawadia hawa ndugu zetu wakati huenda wangewakusanya wote waliohusika kwa kuwapa hata mkono wa pongezi..., after all watu wengine sio kwamba wanahitaji hata kulipwa (sababu hapo hawakuwa kazini na walifanya ubidanamu) bali wanahitaji tu appreciation kwa walichofanya...
Just imagine kama dogo alifanya hata machache mengine akaongezea chumvi ili aonekane RAMBO, sasa kuanza kumuita Tapeli huoni inaleta ukakasi kidogo....