Mnakumbuka kikombe cha babu?Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.