Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

Huyu ni msenge mmoja ambaye kichwa chake kina umeme mdogo.
Anaposema alijiokoa na kuokoa wengine, ina maana aliwabeba majeruhi wote mgongoni hadi nchi kavu?
Wavuvi wasingefika eneo la tukio na mitumbwi yao, leo hii angekuwa hai?
ulitaka asiseme alichofanya na kukiona, wewe nae sema ulichokiona ndio tunaenda sawa manake mlizuia wengine wasiseme, wote waliotoka tuwasikie kwanza. Msitulazimishe kusikia mnachotaka nyie tusikie sie tunasikiliza wote mapaka wale wavuvi manake nyie story yenu ni majaliwa pekee haiwezekani kuna ambayo mnaficha tusikie.
 
Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka

Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic

Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona

Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi

Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.

Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili

Chanzo: WASAFI TV
Muongo huyu, mlango uliofunguliwa ni emergence door...fix tupu sasa hivi, dogo ndio keshasepa hivyo.
 
Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.
Yule ni nshomile, hakuna ubishi na hilo, akili ikamjia ya ule wimbo unapitea, "NITOKE VIPI"
 
Majaliwa alifungua mlango wa emergency kama watu wanachanganya hivi na wakati ndege inadondoka yeye ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kuiona ile ajali wakati ndege inadondoka ndiyo akawa amejulisha na wavuvi wenzake kusogea eneleo la tukio maana hata baada ya watu kuokolewa ni hiyo hiyo mitumbwi ya kina Majaliwa iliwapeleka nchi kavu hapo ndipo ushujaa na ujasiri wa Majaliwa unapoonekana hata kuhatarisha maisha yake kuokoa wahanga wa ajali ikiwa ni pamoja na mchango wa wavuvi wenzie ingekuwa ni vigumu wale abiria kutoka ndani ya ndege bila msaada wa watu kutoka nje na kuanza kuogelea au kubaki pale juu ya ndege lingekekuwa timbwili lingine tena pale kwa abiria wasiyojua kuogelea
 
Eng. Victor muda wote huo umeshikiria mlango na kuwatoa wenzio ulikuwa unawaweka wapi hao watu? Halafu hizo dk mbona nyingi sana uwanja na ziwa kwani vipo mbalimbali sana? Ifike wakati wamuache kwanza kupona katika ajali mawenge lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona keshasema wavuvi waliokuja akasaidiana nao? Na mlango ulipewa support na mtumbwi in fact Kuna mvuvi alimsaidia kumnasua mtoto pamoja na mabegi. Kasikilize interview yake in full maswali yote hayo yana majibu
 
Sababu kuu ni kwamba akiwa kwenye harakati za kuvunja mlango kwa kamba iliyofungwa kati ya boti na mlango wa ndege ili kumuokoa rubani kamba ikakatika gafla na kumuumiza usoni naye akajikuta anaokolewa na kujikuta hospitali na baadaye ikagundulika si abiria bali alikuwa katika harakati za kuokoa.
Upo sahihi kabisa mkuu hiki ndio kimemfanya apewe airtime maana manusura apoteze maisha yake ukilinganisha na wavuvi wengine ambao hawakudhurika per se.
 
Mbona keshasema wavuvi waliokuja akasaidiana nao? Na mlango ulipewa support na mtumbwi in fact Kuna mvuvi alimsaidia kumnasua mtoto pamoja na mabegi. Kasikilize interview yake in full maswali yote hayo yana majibu
Ngoja mie niendelee mambo mengine, walionusurika MUNGU aendelee kuwalinda, na marehemu wapumzike kwa amani, pia Majaliwa kila raheri katika kazi yake mpya baada ya kuokota dodo kwenye mwarobaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ndege ya Precision au ndege zote?
Ndege ngingi kama sio zote milango ya kawaida kuingia na kutoka abiria huwa iko kishoto na dharura inakuwa kulia.

ATR kwa uzoefu wangu mdogo mlango wa dharura uko kulia
 
Majaliwa anasema hv eng nae anayakwake huu naona ni kama mpambano
Kwa clouds naona hii kama ni fursa wawakutanishe hawa wa2 kwenye powerbreakfast au clouds 360 tujue nani mkweli 😃
 
Kabisa mkuu, Majaliwa hana utaaramu wa mlango wa ndege, so moja kwa moja alijua kasia lake ndilo limefungua mlango
Wahudumu wa ndege wapo wapi mbona hawahojiwi ili tujue zaidi nini kilichotokea baada ya ajali kutokea
 
Kwahio Majaliwa alipiga mlango upi kwa kasia ukafunguka? Au kulikuwa na milango miwili?
UPO UWEZEKANO WAKATI MAJALIWA AKIJITAHIDI KUOKOA KWA KUVUNJA MLANGO NA HARAKATI HIZOHIZO PIA ZILIKUWA ZIKIENDELEA KWA WALIOKUWA NDANI,
HIVYO WOTE NI MASHUJAA.
 
Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Hamna mlango wa emergence mjomba? Kwa reasoning yangu ya kilayman mechanism ya kufungua mlango wa emergence haiwezi kuwa sophisticated kama kufungua mlango wa kawaida kwenye normal operation.
 
Aaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.

Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Sawa ila ndo ivo muvi iilchezwa na watu wengi ila Majaliwa ndo alikuwa stelingi
 
Tukishirikisha akili..
Mlango wa ATR huwezi kufunguliwa na kasia.
Kumbuka mlango wa hii ndege ukifunguka unabadilika kuwa ngazi.
Tena unafunguka kwa kurudi chini
Ishugulishe akili yako kidogo, ukiangalia ule mlango uliopigwa picha baada ya ndege kutolewa majini ni ule wa emergency ambao hauwi ngazi ukifunguliwaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom