1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
Na mhudumu akabonya kitufe mlango ukafunguka, na hawakusikia mpiga Kasia yoyote akiupiga Mlango na Kasia, Majaliwa katokea wapi hapo?Victor aliushikilia kwa mkono ujue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mhudumu akabonya kitufe mlango ukafunguka, na hawakusikia mpiga Kasia yoyote akiupiga Mlango na Kasia, Majaliwa katokea wapi hapo?Victor aliushikilia kwa mkono ujue!
Dakika siyo sekundeDakika au Sekunde ?, Si angeweka kitu kama Kasia au mikono yake haikuchoka ?
Unajua dakika 60 ni saa nzima ? Kwahio yeye katika Uokozi huu alishiriki kushikilia mlango ?
Hii kitu tangia itokee inaleta maswali mengi kuliko majibu na huenda ukweli mwisho wa siku ukawa ni wa version kama tano au sita hivi....
Hata wa Allex hauwezi funguka kwa kupiwa KasiaLakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
coincidenceLakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Tatizo wanasiasa wamechukua majaliwa Kama mwamvuli wa kufichia ule uzembe wao ambao walipaswa kuwajibikaAaah kijana amekua exaggerated ila waliosaidia ni wengi mnoo kuanzia Hostess aliyefungua emergency exit, raia wa china, wavuvi waliokuja na mitumbwi all in all Majaliwa sio kama alikua better ila kitendo Cha yeye manusura kupoteza maisha sababu ya kujaribu kumuokoa Rubani nadhani ndio wanamfutia machozi nacho.
Pia serikali wamemkuza Ili kuondoa maswali ya wananchi kwenye uzembe wa kuchelewa kuokoa Ili Sasa attention iwe kwenye SHUJAA!! but ukisikiliza manusura wote utaona msaada ulitolewa na watu wengi sana na sio mtu mmoja kuokoa watu 24!!
Aliye quote naye kapotosha jamaa alishika mlango kwa mkono ila ulipewa balance na mtumbwi so yeye alishika tu wakati wengine wanaokoa watu ila sio kwamba aliweka mguu more so dakika zote 60!! Hizi media zetu Nazo ni tatizo.Dakika au Sekunde ?, Si angeweka kitu kama Kasia au mikono yake haikuchoka ?
Unajua dakika 60 ni saa nzima ? Kwahio yeye katika Uokozi huu alishiriki kushikilia mlango ?
Hii kitu tangia itokee inaleta maswali mengi kuliko majibu na huenda ukweli mwisho wa siku ukawa ni wa version kama tano au sita hivi....
Mlango wa dharura uko mbele kushotoMlango wa Emergency ule karibia na Bawa ?
Wampe na yeye ajira zima moto na milion 5, ndo anachokitafuta
Victor kasema Hata yule mtoto mdogo alimuokoa kwa kumshika na kidoleAliye quote naye kapotosha jamaa alishika mlango kwa mkono ila ulipewa balance na mtumbwi so yeye alishika tu wakati wengine wanaokoa watu ila sio kwamba aliweka mguu more so dakika zote 60!! Hizi media zetu Nazo ni tatizo.
Wala hata huwezi kuufungua ukiwa nje maana lock yake iko ndani, pia ni mpana sana kwa sababu ndio ngazi. Kutokea nje ingekua rahisi kuvunja sehemu yoyote ubavuni mwa ndege kuliko mlangoLakini tuwaze tu hivi inawezekana mlango wa ndege ukawa sawa na wa Toyota allex ukipigwa Kasia unasambaratika......!
Mama ukitulia vizuri wanao hoji wana hoja.Kweli Riziki yoyote lazima Nongwa ihusike Wallah....
Majaliwa ndiyo huyo...Aliyepewa amepewa tu...
Mambo ya "aliyepewa amepewa tu" ni uswahili, Engineer ameelezea kama mtu mmojawapo aliyekuwepo eneo la tukio.Kweli Riziki yoyote lazima Nongwa ihusike Wallah....
Majaliwa ndiyo huyo...Aliyepewa amepewa tu...