Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

Nataka nijaribu hii 5w30,mana haiwezekan KM 40 wese lita 3, 1790cc😁
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahahah hilo ni jini, mi mwenyewe kuna wakati nilikuwa naona kama uchawi gari inakula mafuta kichizi.

Kumbe nimegundua hata oil nzito inasababisha hayo. Sahizi at idle rpm inatulia kwenye 600 bila kokoro. Ukiwasha ac inakuwa 800.

Cheki Plug huenda za kifoo au zimekufa, nimeweka NGK ila naona zinaniletea umandazi nataka nirudishe Denso kama nilizotoa.
 
mwezi ujao nina service kubwa nitajaribu kufanya hii kitu mkuu.
 
Puma na Total tu
 
IST yako ni New Model ama Old Model?

Sababu New Model unatakiwa ununue plugs zake genuine nadhani bei Inacheza kwenye elfu 40 ama 50 kwa moja.
 
Yaani nimesoma comment za humu nimejua huwa nachomesha engine..IST ya 2003, km 145,000..Oil fundi alinambia nikanunue hiyo hapo...20W -50, naogopa hata kuwasha gari
 
Kumbe kale kamlio na taa ya oil kuchelewa kuzima possible ni uzito wa oil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…