Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

Mkuu
Nakushauri Iwapo Una Nafasi Yaani Eneo Ulilopo Tayota Tanzania Limited Wana Ofisi Nenda Na Engine Number
Wanauza, Wanatoa Ushauri Aina Ya Vitu Vya Kuweka Kwenye Gari Yako

Kuna Jamaa Ana Toyota Max X AliwekA Oil Aipendayo Hasa Akizingatia Kuwa Ataibadili Baada Ya Kilometres 10000
Gari Yake Ikawa Nzito Sana Hasa Anapotaka Kuondoka

Aliwatembelea Toyota Tanzania Limited
Akapewa Ushauri Na Oil Sahihi

Alichoambiwa Anaweza Kununua Kipuri Toyota Tanzania Limited Halafu Akaenda Kufungiwa Kwa Fundi Wake Mtaani Iwapo Ataona Hatamudu Gharama
Yes hawa jamaa wanatoa ushauri mzuri sana ndio maana hata sisi wauzaji wa spare tunashauliwa tuuze vitu genuine na kwa Tanzania magari ya Toyota na Nissan kuweka kifaa cha China ni uzembe wako tu maana wana ofisi zao hapa hapa unaweza kununua kitu muuzaji akakudanganaya kuwa ni genuine ukienda kwao watakusaidia kama ni genuine kweli au fake na kwa asilimia 95 wauzaji wengi wa maduka ya jumla hasa kariakoo hakuna anaeuza genuine wengi wanachukua mzigo China
 
Kumbe unazungumzia tred...kwa mfano wiki mbili zilizopita nimefanya service....hii filter ina tred za silver...si nyeusi....ila sehemu nyingi inauzwa 15000 mpka 20000 kwa huku Arusha...sijui sehemu nyingine...
Sawa mkuu ni bora unaweka vitu genuine mm huku nagombana na mafundi kila siku wao wanalazimisha niuze vitu ambavyo wao wanataka wakati mm sijafungua duka kwa lengo la faida ila nimefungua kwa lengo la kujenga jina na uaminifu faida itakuja baadae na nafsi huwa inanisuta kuweka kitu ambacho nikimuuzia mtu kitaenda kuharibu gari yake
 
Well said...
Mafundi wengi hawana maarifa ya kutosha ya kuwashauri wamiliki wa magari kuhusu spea halisi....
Na mafundi wanaojua kuhusu spea halisi, wanaenda kununua feki na kumfungia mtwja ili wao wapate cha juu cha kuweka mfukoni...hii imemtokea rafiki yangu..
 
Ndio desturi yao kubwa hiyo wanamtajia mteja bei ya kifaa halisi lakini wakipewa pesa tu wananunua kifaa fake kwa bei ya chini sana ili wapate cha juu zaidi
 
Mkuu na kinIST changu mwaka wa tano huu kilikuja nankilomita 52000 sa hvi kipo kilomita 97000..

Hyo elimu ya oil nilikua sina ni mwendo wa SAE40 tu je nikiengia hzo 5W 30 ni poa au ndio vyuma vishasagika??
Mimi watumiaji wengi wa magari siwalaumu kws kutumia vitu feki ila shida ni mafundi ndio wanaharibu magari yao Nina uhakika mmiliki wa gari akija ukamwambia genuine oil filter ni 20000 na fake yake ni 10000 na ukamwelekeza na madhara yake sijui kama atanunua hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni salama kwa afya ya gari yako maana badala ya kuiua kidogo kidogo bora uiwekee oil inayostahili na kuepuka gharama kubwa za huko mbeleni na pia nimegundua kitu wamiliki wengi wa magari hawana elimu ya oil na pia changamoto ya kuweka vitu vinavyoendana na magari yao ni kikwazo kwa sababu ya pesa wengi wanapenda vitu rahisi zaidi kuliko ghali na vinavyofanya kazi sawa na ushauri wa watengenezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna hii gari nimeagiza sasa natafakari ni namna gani ntapata chaguo sahihi la oil ya engine.

Nimejaribu ku google maana mi ist yangu engine yake ni 2NZ sasa majibu ya google yanakuja kama hivi. 5W-30 na 10W-30 kwamba ndo recommended fuel engine kwa engine ya namna hiyo.

Ila katika kupeleleza zaidi kati ya 5W-30 na 10W-30 nikakuta kwamba 5W-10 inatumika kwenye majira ya baridi of which inaweza isiwe chaguo zuri kwangu kwakuwa bongo baridi sio kivile.

Hiyo 10W-30 ndo imekuwa indicated kwamba inatumika zaidi kwenye majira ya joto of which naona kama itaendana na mazingira ya bongo.

NOTE: Kuna hii oil ya 15w40 ambayo nimeona wanaisema kwamba inatumika sana kwenye nchi za tropical ila naiogopa kidogo maana wanasema ipo thicker sana angali mimi cc ya gari yangu ni 1.3l sasa naogopa hiyo oil inaweza isisupport hizo cc.

Hapo hapo nikakuta hizi fuel engine kuna wanaziita synthetic na mineral. Ikionekana synthetic iko reliable kuliko hiyo mineral.

Sasa hapa nlikuwa nauliza itakuwa sahihi kutumia kwenye hii IST fuel yenye hizi specification 10W-30 Synthetic? Na je ni brand gani nzuri kutumia? maana leo nimeenda shell wakanionesha brand ya castrol oil.. Sasa ndugu wazoefu itakuwa sahihi kwa gari langu.

Au nyie wenye IST wengine huwa mnatumia engine fuel ya aina gani?

Ntashukuru kwa majibu.

Sasa hapa najiuliza
Nunua oil kutokana na mileage ya gari lako,likiwa linakimbilia 100k tumia 20W
 
Mimi watumiaji wengi wa magari siwalaumu kws kutumia vitu feki ila shida ni mafundi ndio wanaharibu magari yao Nina uhakika mmiliki wa gari akija ukamwambia genuine oil filter ni 20000 na fake yake ni 10000 na ukamwelekeza na madhara yake sijui kama atanunua hiyo
Uko sahihi! Mafundi kwa asilimia kubwa ndio wanaoshindwa kuwaongoza wateja wao kwa usahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Nakushauri Iwapo Una Nafasi Yaani Eneo Ulilopo Tayota Tanzania Limited Wana Ofisi Nenda Na Engine Number
Wanauza, Wanatoa Ushauri Aina Ya Vitu Vya Kuweka Kwenye Gari Yako

Kuna Jamaa Ana Toyota Max X AliwekA Oil Aipendayo Hasa Akizingatia Kuwa Ataibadili Baada Ya Kilometres 10000
Gari Yake Ikawa Nzito Sana Hasa Anapotaka Kuondoka

Aliwatembelea Toyota Tanzania Limited
Akapewa Ushauri Na Oil Sahihi

Alichoambiwa Anaweza Kununua Kipuri Toyota Tanzania Limited Halafu Akaenda Kufungiwa Kwa Fundi Wake Mtaani Iwapo Ataona Hatamudu Gharama
Mimi spea zangu napenda kununua Toyota Tz Ltd na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said...
Mafundi wengi hawana maarifa ya kutosha ya kuwashauri wamiliki wa magari kuhusu spea halisi....
Na mafundi wanaojua kuhusu spea halisi, wanaenda kununua feki na kumfungia mtwja ili wao wapate cha juu cha kuweka mfukoni...hii imemtokea rafiki yangu..
Hii imesababisha niwe naenda kununua spea mwenyewe na si kumpa fundi hela akanunue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo unampotosha kwenye utumiaji wa oil na ndo unataka kufanya mwamba aue engine yake mapema mtu anatakiwa kutumia recommended oil kulingana na watengenezaji walivyo shauri na sio dhana ya km kama ambavyo mwamba anashauri watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watengenezaji wa oil wame recommend oil gan for high mileage cars?may be we can argue from there!
 
"Whether you choose high mileage 20W-50 or conventional 20W-50 motor oil, they will both flow like a 20 Weight oil in cold weather, then with the viscosity of a 50 Weight oil once the engine is up to full temperature. Choose Castrol® GTX® 20W-50 to protect against sludge and Castrol® GTX® High Mileage for older vehicles with over 75,000 miles on the odometer.

Castrol® GTX® High Mileage 20W-50 is specially formulated for vehicles with over 75,000 miles. It contains Phosphorus Replacement Technology, which reduces the level of phosphorus and replaces it with a proprietary additive that preserves your emission system while maintaining robust wear protection. Castrol® GTX® 20W-50 is formulated to clean away existing sludge while preventing new sludge formation to help extend engine life. It is also liquid engineered to resist viscosity and thermal breakdown".
 
Attachments

  • IMG_20191231_112636.jpg
    IMG_20191231_112636.jpg
    101.2 KB · Views: 51
Naomba elimu ya kitaalamu zaidi kwanini 5W-30 itaua engine yangu kwa haraka mno?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya Hz oil ni viscosity,na inategemea unaishi ukanda gani ukiachilia sababu nyinginezo,kwa nchi za baridi 5w 20 ni nzuri ila kwa nchi yenye joto Kali above 30 Celsius it's better to use yenye viscosity kubwa like 20W 50 Kwa high mileage,ingawa ukitumia 20W 50 fuel consumption inaongezeka kwenye gari.Kingine ni kwamba Technology inabadilika everyday nw and then,hvyo haya makampuni ya kutengeneza oil yanabadilisha oil products based on circumstances ingawa gari linabaki kuwa lile lile for hundred years to come,ndiyo maana hata gari iliyokuwa recommended kutuma petrol Leo zinatumia gas systems tofauti,mf DIT na VETA wanachofanya.
 
Back
Top Bottom