Okay...vp na nikiweka hii 5w30 nibadili kila baada ya km ngapi Mkuu???
Yes jaribu kutumia 5W30, angalizo oil hii bei yake ni mara mbili ya sae 40 kwa kampuni yoyote ile ya oil na mm ninazo ofsn kwangu kwa kampuni zote genuine