Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

Watu wanaoweka genuine kwa bongo ni wachache sana tena wale wenye magari makubwa kama Prado cruiser nk ila hawa aanaomilik hizi saloon cars na suv wengi wao hawaelew neno genuine na hawataki kusikia kabisa sijui shida ni nn
Vipi khs 5w-30 wenye saloon siku hizi wameanza kuzielewa au bado wamekomaa tu kutaka sae 40?
 
Kuna mtu nimekuta anashauriwa kutumia hii kwenye Toyota Run x..
IMG_20200613_100335.jpg
 
Kuna mtu nimekuta anashauriwa kutumia hii kwenye Toyota Run x..View attachment 1498643
Niwe wazi tu na ieleweke vyema siharibu biashara ya watu, hizi mineral oil ni cheaper oil ambayo kila muuz duka anauwezo wa kuiweka dukani hasa Yale maduka ya uswahilini.

Pili mafundi wengi wa uswahilini elimu yao kuhusiana na vilainishi ni ndogo sana na ndio maana wengi wao ukifika na kuwauliza castrol oil basi watakuleta dumu hilo na 15w40 la diesel.

Pia wengi wanawahsuri wateja kutumia oil hiyo kwa kuwadanganya kiasi cha pesa kinachohitajika kununulia oil hiyo kuwa ni laki moja wakati uhalisia inauzwa 70-65 kutegemeana na maeneo
 
Niwe wazi tu na ieleweke vyema siharibu biashara ya watu, hizi mineral oil ni cheaper oil ambayo kila muuz duka anauwezo wa kuiweka dukani hasa Yale maduka ya uswahilini, pili mafundi wengi wa uswahilini elimu yao kuhusiana na vilainishi ni ndogo sana na ndio maana wengi wao ukifika na kuwauliza castrol oil basi watakuleta dumu hilo na 15w40 la diesel..
Sikuwahi kufikiria Kama Kuna multigrade mineral oil , nilikuwa najua synthetic oils pekee ndio multigrade

Sent
 
1567944633624.jpg

Mnapoambiwa msome manual za gari zenu hapo kwa picha ndicho mnachotakiwa kukifanya.
Habari za nchi za baridi na joto sijui huwa zinatokea wapi maana kwenye hiyo manual husika inaonesha kuwa hiyo oil tatu zinafanya kazi from -20c to 40c na pia kama unataka kufanya fuel economy utumie 5w20 kwenye hilo gari husika ingawa wameirecomend 5w30 kwenye donut yenye api level sl.

Cha muhimu kuzingatia ni viscosity ambayo manufacturer Ameshauri pili api level ya oil, utakapo anza kubadi kutoka sl then ukaweka sm/sn then ukarudi kwenye sl hapo utakua unatafuta matatizo maana kila level ina additives zake, si ajabu kukaanza kutokea oil leaks
 
Attachments

  • 1567944633624.jpg
    1567944633624.jpg
    104.9 KB · Views: 41
View attachment 1499880

Mnapoambiwa msome manual za gari zenu hapo kwa picha ndicho mnachotakiwa kukifanya.
Habari za nchi za baridi na joto sijui huwa zinatokea wapi maana kwenye hiyo manual husika inaonesha kuwa hiyo oil tatu zinafanya kazi from -20c to 40c na pia kama unataka kufanya fuel economy utumie 5w20 kwenye hilo gari husika ingawa wameirecomend 5w30 kwenye donut yenye api level sl.

Cha muhimu kuzingatia ni viscosity ambayo manufacturer Ameshauri pili api level ya oil, utakapo anza kubadi kutoka sl then ukaweka sm/sn then ukarudi kwenye sl hapo utakua unatafuta matatizo maana kila level ina additives zake, si ajabu kukaanza kutokea oil leaks

Shida manual zinakuja zimeandikwa kijapan.
 
Tukipata watu 100 tu wa kuonyesha kwa vitendo kile ambacho wengine tunakipigania natumain wenye magari wataelewa somo na ile dhana ya uharibifu wa engine utakua umeisha kabisa
 
Shida manual zinakuja zimeandikwa kijapan.
Mkuu hiyo picha niliyoiattach umeweza kuisoma? Mara nyingi information muhimu zinaandikwa pia kwa kiingereza.
Nikiasi cha kupekua manual mpaka kuona duara kama la donut.

Katikati wanaweka namba ya oil, pembezoni api level
 
Dah asanteni wadau kwa maelezo mazuri. Kuna mdau huku mtaani kanishauri nitumie 20w50. Kumbe kanipoteza.
 
Back
Top Bottom