intelinside
JF-Expert Member
- May 21, 2015
- 304
- 402
Magnatec haitumiki kwenye gari za Toyota wala Nissan nadhan kwa gari zinazotoka Japan ni Mazda tu ndo inatumia hii oil, zote ninazo ila gtx hawana 5w30 hivyo edge ndo inatumika kwenye Carina yako mkuu
Vipi khs 5w-30 wenye saloon siku hizi wameanza kuzielewa au bado wamekomaa tu kutaka sae 40?Watu wanaoweka genuine kwa bongo ni wachache sana tena wale wenye magari makubwa kama Prado cruiser nk ila hawa aanaomilik hizi saloon cars na suv wengi wao hawaelew neno genuine na hawataki kusikia kabisa sijui shida ni nn
Niwe wazi tu na ieleweke vyema siharibu biashara ya watu, hizi mineral oil ni cheaper oil ambayo kila muuz duka anauwezo wa kuiweka dukani hasa Yale maduka ya uswahilini.Kuna mtu nimekuta anashauriwa kutumia hii kwenye Toyota Run x..View attachment 1498643
Hiyo siyo oil yake, Mimi mwenyewe natumia runx. Oil yake ni 5w30 na ukikosa unaweka 10w30. Chukua castrol edge au total au liquimoly yenye namba hizoKuna mtu nimekuta anashauriwa kutumia hii kwenye Toyota Run x..View attachment 1498643
Wameandika kwenye mtandao wao best choice ni Castrol edge 5w30 then Hiyo magnatec ipo daraja la chini yake la better. Pia magnatec nilishanunua wameandika aina za magari kwenye dumu nje lkn toyota haipo mkuu.mkali cheki hii link yenye recommendations za engine za toyota, nadhani zinatumika tu bila shida,
Castrol oils and lubricants for your TOYOTA Camry SXV20 Series, 2.2 Litre 5S-FE F/Inj. Eng. (1997-1998)
Inawezekana kabisa mkuuMkuu kingjohn vp kwa toyota vitz kutumia Liquimoly 5w 30
Sikuwahi kufikiria Kama Kuna multigrade mineral oil , nilikuwa najua synthetic oils pekee ndio multigradeNiwe wazi tu na ieleweke vyema siharibu biashara ya watu, hizi mineral oil ni cheaper oil ambayo kila muuz duka anauwezo wa kuiweka dukani hasa Yale maduka ya uswahilini, pili mafundi wengi wa uswahilini elimu yao kuhusiana na vilainishi ni ndogo sana na ndio maana wengi wao ukifika na kuwauliza castrol oil basi watakuleta dumu hilo na 15w40 la diesel..
View attachment 1499880
Mnapoambiwa msome manual za gari zenu hapo kwa picha ndicho mnachotakiwa kukifanya.
Habari za nchi za baridi na joto sijui huwa zinatokea wapi maana kwenye hiyo manual husika inaonesha kuwa hiyo oil tatu zinafanya kazi from -20c to 40c na pia kama unataka kufanya fuel economy utumie 5w20 kwenye hilo gari husika ingawa wameirecomend 5w30 kwenye donut yenye api level sl.
Cha muhimu kuzingatia ni viscosity ambayo manufacturer Ameshauri pili api level ya oil, utakapo anza kubadi kutoka sl then ukaweka sm/sn then ukarudi kwenye sl hapo utakua unatafuta matatizo maana kila level ina additives zake, si ajabu kukaanza kutokea oil leaks
Tukipata watu 100 tu wa kuonyesha kwa vitendo kile ambacho wengine tunakipigania natumain wenye magari wataelewa somo na ile dhana ya uharibifu wa engine utakua umeisha kabisaView attachment 1499880
Mnapoambiwa msome manual za gari zenu hapo kwa picha ndicho mnachotakiwa kukifanya.
Habari za nchi za baridi na joto sijui huwa zinatokea wapi maana kwenye hiyo manual husika inaonesha kuwa hiyo oil tatu zinafanya kazi from -20c to 40c na pia kama unataka kufanya fuel economy utumie 5w20 kwenye hilo gari husika ingawa wameirecomend 5w30 kwenye donut yenye api level sl.
Cha muhimu kuzingatia ni viscosity ambayo manufacturer Ameshauri pili api level ya oil, utakapo anza kubadi kutoka sl then ukaweka sm/sn then ukarudi kwenye sl hapo utakua unatafuta matatizo maana kila level ina additives zake, si ajabu kukaanza kutokea oil leaks
Mkuu hiyo picha niliyoiattach umeweza kuisoma? Mara nyingi information muhimu zinaandikwa pia kwa kiingereza.Shida manual zinakuja zimeandikwa kijapan.
Mkuu ungeshare link ingependeza zaidi. Hiyo picha yako haisomeki ukizoom ndio kabisaaa.Naomba kujazia nyama kama walivochangia wajumbeView attachment 1518251
https://toyota-club.net/files/02_st-expl.htm#58Mkuu ungeshare link ingependeza zaidi. Hiyo picha yako haisomeki ukizoom ndio kabisaaa.
Asante mkuu nmeona boss.https://toyota-club.net/files/02_st-expl.htm#58
Hapo unaweza kuangalia specification Fluids & Capacity za gari yeyote ya Toyota.
Yes...kwa ist si vizuri kutumia hiyo oil...hiyo ni nzito sanaDah asanteni wadau kwa maelezo mazuri. Kuna mdau huku mtaani kanishauri nitumie 20w50. Kumbe kanipoteza.