Shukrani Mkuu, hii naifanya huu ni Mwaka wa Tati Sustainability yake imekuwa Changamoto kidogo na kwa sasa Cliënt wanaofanya miradi ya ujenzi wamekuwa Wanapatikana kwa tabu sanamimi kama eng mwenzako nakushauri ujiajiri tu anza kuchora raman na kuwaandalia watu individuals hayo mamateria schedule etcetc na kusimamia site zao za ujenzi kuajiriwa saiv ni kama bahati
Nitaufanyia kazi ushauri wako Mkuu, Changamoto ni unaweza zunguka na akiba yako ikaisha bila kufanikiwaNilifikiri hawamu hii ni ya wahandisi kupeta, kumbe kada zote mambo magumu. Ila kwa nyie wahandisi mna miradi mingi sana kama ukiamua kuizungukia huko mikoani tena unauzoefu miaka mitatu huwezi kukosa kazi.
Cha msingi chek college mate zako kwenye whattsap grps mara kwa mara maana kunawengine wanaconnections za kutosha.Nitaufanyia kazi ushauri wako Mkuu, Changamoto ni unaweza zunguka na akiba yako ikaisha bila kufanikiwa
Shukrani Mkuu, Tusaidiene na Mimi nikipata miradi ya nyumba za watu nitapogitaji Carpenter tutagawana riziki Mkuumkuu nafahamu kazi zenu mimi kama mtaalam wa Carpenter structure and journal kwa kazi zote formwork sirub beam colum nitafute tufanye kazi pamoja lakini nitakucheki pahala kuna kampuni wanahitaji mainjinia kama nyie.