Granite
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 268
- 624
Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu.
Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira.
Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za kihandisi kuandaa michoro, schedule of work and Material nk.