Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

Granite

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
268
Reaction score
624
Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu.

Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira.

Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za kihandisi kuandaa michoro, schedule of work and Material nk.
 
Mimi kama eng mwenzako nakushauri ujiajiri tu anza kuchora ramani na kuwaandalia watu individuals hayo mamateria schedule etcetc na kusimamia site zao za ujenzi kuajiriwa saiv ni kama bahati
 
mimi kama eng mwenzako nakushauri ujiajiri tu anza kuchora raman na kuwaandalia watu individuals hayo mamateria schedule etcetc na kusimamia site zao za ujenzi kuajiriwa saiv ni kama bahati
Shukrani Mkuu, hii naifanya huu ni Mwaka wa Tati Sustainability yake imekuwa Changamoto kidogo na kwa sasa Cliënt wanaofanya miradi ya ujenzi wamekuwa Wanapatikana kwa tabu sana
 
Nilifikiri hawamu hii ni ya wahandisi kupeta, kumbe kada zote mambo magumu. Ila kwa nyie wahandisi mna miradi mingi sana kama ukiamua kuizungukia huko mikoani tena unauzoefu miaka mitatu huwezi kukosa kazi.
 
Nitaufanyia kazi ushauri wako Mkuu, Changamoto ni unaweza zunguka na akiba yako ikaisha bila kufanikiwa
 
Nitaufanyia kazi ushauri wako Mkuu, Changamoto ni unaweza zunguka na akiba yako ikaisha bila kufanikiwa
Cha msingi chek college mate zako kwenye whattsap grps mara kwa mara maana kunawengine wanaconnections za kutosha.
 
Mjomba anaishi nje, unaweza kuingia nae mkataba wa ujenzi wa nyumba ya kuishi?
 
Cha msingi chek college mate zako kwenye whattsap grps mara kwa mara maana kunawengine wanaconnections za kutosha.
Nitazingatia huu ushauri, niongeze nguvu tu kwasababu wengi nina mawasiliano nao na tunajuzana fursa zinapotokea
 
Mkuu nafahamu kazi zenu mimi kama mtaalam wa Carpenter structure and journal kwa kazi zote formwork sirub beam colum nitafute tufanye kazi pamoja lakini nitakucheki pahala kuna kampuni wanahitaji mainjinia kama nyie.
 
mkuu nafahamu kazi zenu mimi kama mtaalam wa Carpenter structure and journal kwa kazi zote formwork sirub beam colum nitafute tufanye kazi pamoja lakini nitakucheki pahala kuna kampuni wanahitaji mainjinia kama nyie.
Shukrani Mkuu, Tusaidiene na Mimi nikipata miradi ya nyumba za watu nitapogitaji Carpenter tutagawana riziki Mkuu
 
Wakuu habari za pamumziko ya Jumapili bado nakumbushia ombi langu
 
Back
Top Bottom