ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
So what exactly? Wao kuandika hivo kunamaanisha nini yani? Are they the conclusive authority on brand names?tadb.co.tz (Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what exactly? Wao kuandika hivo kunamaanisha nini yani? Are they the conclusive authority on brand names?tadb.co.tz (Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)
Watu wengi sana wamelueleze kuwa it is no longer Tanzania Postal Bank but TPB Bank. Why are you ignoring them?Mkuu, hapa mjadala ni LOGO na sio matamshi kwa maana matamshi kila mmoja anayo ya kwake
Boss nakuona unatafuta league ya mabishano na mimi. I have no time for that...So what exactly? Wao kuandika hivo kunamaanisha nini yani? Are they the conclusive authority on brand names?
Sibishani na wewe bossWatu wengi sana wamelueleze kuwa it is no longer Tanzania Postal Bank but TPB Bank. Why are you ignoring them?
When designing a brand identity, ease of recognition is more important than grammar
Kumbe umewaona eeeh. Wanatetea ujinga eti kwa kisingizio cha rebrandingWachangiaji huu uzi chenga tupuu...!!
Tutafika tu mkuu mdogo mdogoEATV Television.
Taratibu tutafika tu.. Ngoja kwanza.
Hivi ndivyo ilivyotakiwa lisomeke jina la hiyo bank. TP Bank au waandike tu TPBWangeandika TP Bank basi. Kuna bank ya Canadians inaitwa Toronto Dominion Bank. Kifupi chake ni TD Bank, si TDB Bank.
Watu watakuwa wameiona TPB Bank sehemu ndiyo wakaanza kuiiita hivyo.Wangeandika TP bank wangepata tabu sana kueleweka na watu, maana hiyo TPB Bank ndio watu walikuwa wakiita hivyo, na wenyewe wakaamua kunata na biti hivyo hivyo. Wangefanya rebranding kujiita TP bank wangechanganya watu, wangedhani ni bank mpya
Halafu wabongo wengi kitu kikizoeleka, hata wakijua kina makosa, hawasahihishi.Hivi ndivyo ilivyotakiwa lisomeke jina la hiyo bank. TP Bank au waandike tu TPB
Makosa waliyofanya yanasababishwa na shida ya lugha.
Mbona ilitoka Buzz mpaka Tigo? Mbona ilitoka Zain mpaka Airtel? Why banking industry tunasingizia "jina lililozoeleka na wateja?
Mzee ukifuatilia utakuta kuna sababu ziliwalazimisha kubadili hayo majina, yawezekana kampuni iliuzwa ila mnunuzi hakutaka kuuziwa na jina (maana jina la kampuni nalo linauzwa kama goodwill)Mbona ilitoka Buzz mpaka Tigo? Mbona ilitoka Zain mpaka Airtel? Why banking industry tunasingizia "jina lililozoeleka na wateja?
Iweke basi ubishi uishe maana hutaki kuelewa, unaelelewa lakini unajifanya huelewi.Kwenye logo ya NMB hakuna neno Bank kwa mbele
View attachment 1172009
Akili pesa.Niliwahi jiuliza juu ya hili mara nyingi, nikaona niache kama ilivyo! Hata kuhifadhi pesa zangu pale niliogapa, kuipoteza, kizembe. Na unga mkono hoja.
Lazima uogope kama unatumia akili.Niliwajiuliza juu ya hili mara nyingi, nikaona niache kama ilivyo! Hata kuhifadhi pesa zangu pale niliogapa, kuipeza, kizembe. Na unga mkono hoja.
Sawa boss nitaliwekaIweke basi ubishi uishe maana hutaki kuelewa, unaelelewa lakini unajifanya huelewi.
Daaaah noma sana heheheeeLazima uogope kama unatumia akili.
Kama wameshindwa kuandika jina la benki, wanaweza kukosea kuandika jina lako kwenye akaunti, ukarudi kutaka kuchukua pesa wakasema hatukujui wewe.