English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

Watu wengi sana wamelueleze kuwa it is no longer Tanzania Postal Bank but TPB Bank. Why are you ignoring them?

When designing a brand identity, ease of recognition is more important than grammar
Sibishani na wewe boss
 
Wangeandika TP Bank basi. Kuna bank ya Canadians inaitwa Toronto Dominion Bank. Kifupi chake ni TD Bank, si TDB Bank.
Hivi ndivyo ilivyotakiwa lisomeke jina la hiyo bank. TP Bank au waandike tu TPB

Makosa waliyofanya yanasababishwa na shida ya lugha.
 
DRC Congo walibadilika wakaanza kuandika DR Congo,nayo ilikua inakosewa hivyohivyo.
 
Wangeandika TP bank wangepata tabu sana kueleweka na watu, maana hiyo TPB Bank ndio watu walikuwa wakiita hivyo, na wenyewe wakaamua kunata na biti hivyo hivyo. Wangefanya rebranding kujiita TP bank wangechanganya watu, wangedhani ni bank mpya
Watu watakuwa wameiona TPB Bank sehemu ndiyo wakaanza kuiiita hivyo.

Na hata kama watu wameanza kuiita benki kimakosa, benki ina wajibu wa kusahihisha na kuelimisha.

Binafsi siwezi kuweka hela kwenye benki ambayo hata kuandika jina lake ni mgogoro.

Unaweza kuweka sh milioni moja, ukakuta ziko laki moja.

Wamesahau kuandika sifuri moja!
 
Hivi ndivyo ilivyotakiwa lisomeke jina la hiyo bank. TP Bank au waandike tu TPB

Makosa waliyofanya yanasababishwa na shida ya lugha.
Halafu wabongo wengi kitu kikizoeleka, hata wakijua kina makosa, hawasahihishi.

Nina hakika mameneja wa benki hiyo wamesoma na wanaona hilo kosa, ila hawasahihishi.

Na kuna watu wengine wanaona benki nzima wajinga kwa sababu hii.
 
Mbona ilitoka Buzz mpaka Tigo? Mbona ilitoka Zain mpaka Airtel? Why banking industry tunasingizia "jina lililozoeleka na wateja?
Mbona ilitoka Buzz mpaka Tigo? Mbona ilitoka Zain mpaka Airtel? Why banking industry tunasingizia "jina lililozoeleka na wateja?
Mzee ukifuatilia utakuta kuna sababu ziliwalazimisha kubadili hayo majina, yawezekana kampuni iliuzwa ila mnunuzi hakutaka kuuziwa na jina (maana jina la kampuni nalo linauzwa kama goodwill)
Sasa hao Buzz ambao wajipa promo kubwa kujijenga jina hawawezi kubadili tu just for the sake ya kuwa na jina jipya

Fuatilia kwa watu wanaojua economics/ finance au marketing watakuelewesha vizuri thamani ya jina la kampuni na athari za kulibadili
 
Niliwahi jiuliza juu ya hili mara nyingi, nikaona niache kama ilivyo! Hata kuhifadhi pesa zangu pale niliogapa, kuipoteza, kizembe. Na unga mkono hoja.
 
Niliwahi jiuliza juu ya hili mara nyingi, nikaona niache kama ilivyo! Hata kuhifadhi pesa zangu pale niliogapa, kuipoteza, kizembe. Na unga mkono hoja.
Akili pesa.
 
Niliwajiuliza juu ya hili mara nyingi, nikaona niache kama ilivyo! Hata kuhifadhi pesa zangu pale niliogapa, kuipeza, kizembe. Na unga mkono hoja.
Lazima uogope kama unatumia akili.

Kama wameshindwa kuandika jina la benki, wanaweza kukosea kuandika jina lako kwenye akaunti, ukarudi kutaka kuchukua pesa wakasema hatukujui wewe.
 
Lazima uogope kama unatumia akili.

Kama wameshindwa kuandika jina la benki, wanaweza kukosea kuandika jina lako kwenye akaunti, ukarudi kutaka kuchukua pesa wakasema hatukujui wewe.
Daaaah noma sana heheheee
 
Back
Top Bottom