English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

Kama mtihani sio kipimo, kwa nini umelaani kitendo cha walimu wa English medium schools kukwepesha kuweka mwanafunzi au wanafunzi fulani kushika namba za mkiani?
sikiliza wanajua nyie mnaabudu matokeo, so wanafabya hivyo kuwavutia yaani ni ulimbo wa kukamata tetere.

Wanajua wazazi wanaabudu matokeo ya darasani, bila kijalisha kichwani mtoto ana nini.
 
sikiliza wanajua nyie mnaabudu matokeo, so wanafabya hivyo kuwavutia yaani ni ulimbo wa kukamata tetere.
Wanajua wazazi wanaabudu matokeo ya darasani, bila kijalisha kichwani mtoto ana nini.
Lakini aliyeleta hapa malalamiko ni wewe, sio wazazi
 
Taja walau nchi 20 kati ya hizo 'nyingi' ambazo katika formal foundation education hakuna mtihani
Sikiliza wewe Kenya kwenyewe mitala mipya yao imeondia mitihani ya Taifa, mitihani si kwamba haipo iko katika school levo.

Mitihani ambayo imefutwa ni ya kitaifa ya kuwashindanisha wanafunzu ujinga kukariri, ila ya shule iko pale pale

sasa mlivyo wa ajabu mnaabudu matokeo ya darasani ilihali mtoto ni zero
 
Lakini aliyeleta hapa malalamiko ni wewe, sio wazazi
yes kwa sababu wanaficha matokeo ili kuwamata wazazi wajue watoto wako vyema, na shule iko vyema,kikubwa mimu siabudu mitihani hasa hii ya kuahinanisha watoto.

Wazazi wanacho pima kama shule ni nzuri ni kungala mtoto kapata max ngapi bila kujua kapimwa pimwaje,
 
Inaweza kuwa ni upuuzi kwako ila kwa wengine sio
Ukitoa kingereza pale hakuna kinachi bakua mkuu, labda na ile kupanda mabasi asubuhi. Hahaa jenga tabua ya kumfanyia mtoto wako accesiment. Ipo siku utagundua ilikuwa ni ujinga kwa sasa huwezi gundua.

Ukitoa English taja ni kitu gani mtoto anatoka nacho pale?
 
Sikiliza wewe Kenya kwenyewe mitala mipya yao imeondia mitihani ya Taifa, mitihani si kwamba haipo iko katika school levo.

Mitihani ambayo imefutwa ni ya kitaifa ya kuwashindanisha wanafunzu ujinga kukariri, ila ya shule iko pale pale

sasa mlivyo wa ajabu mnaabudu matokeo ya darasani ilihali mtoto ni zero
Wewe kipimo chako kwamba wanafunzi wa Swahili medium au lugha nyingine ni bora kuliko English medium?
 
kusema ukweli mtoa mada umepuyanga, huku Kayumba mtoto anatakiwa kila siku aende na 500 ya tuition, matokeo yake wanaishia kupata C, wanapekelekwa kwenye sekondari za kata tena ili tu kutimiza haki ya mtoto kwenda shule, ukimchukua mtoto wa English Medium aliyepata B na mtoto wa Kayumba aliyepata B wako tofauti sana, ukiwapima kiuelewa usikute huyu mtoto wa Kayumba alifanya sandakarawe tu kwenye mtihani mkeka ukatiki

Mwisho wa siku kupanga ni kuchagua
 
Ukitoa kingereza pale hakuna kinachi bakua mkuu, labda na ile kupanda mabasi asubuhi. Hahaa jenga tabua ya kumfanyia mtoto wako accesiment. Ipo siku utagundua ilikuwa ni ujinga kwa sasa huwezi gundua.

Ukitoa English taja ni kitu gani mtoto anatoka nacho pale?
Sio kweli, mimi ninakagua yote anayofundishwa mwanangu kila mara

Kuanzia usimamizi wa watoto, chakula, masomo (Wanafundishwa kweli na kazi wanaachiwa na kusahihishwa)...tofauti na ST. Kayumba ambapo inatokea Mtoto akapitisha wiki nzima hajafundishwa somo flani na ufuatiliaji ni zero

Nahisi inategemea na shule..ila English Mediums ni bora kuliko Kayumba kwa mengi sana
 
Back
Top Bottom