BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #161
sikiliza wanajua nyie mnaabudu matokeo, so wanafabya hivyo kuwavutia yaani ni ulimbo wa kukamata tetere.Kama mtihani sio kipimo, kwa nini umelaani kitendo cha walimu wa English medium schools kukwepesha kuweka mwanafunzi au wanafunzi fulani kushika namba za mkiani?
Lakini aliyeleta hapa malalamiko ni wewe, sio wazazisikiliza wanajua nyie mnaabudu matokeo, so wanafabya hivyo kuwavutia yaani ni ulimbo wa kukamata tetere.
Wanajua wazazi wanaabudu matokeo ya darasani, bila kijalisha kichwani mtoto ana nini.
Sikiliza wewe Kenya kwenyewe mitala mipya yao imeondia mitihani ya Taifa, mitihani si kwamba haipo iko katika school levo.Taja walau nchi 20 kati ya hizo 'nyingi' ambazo katika formal foundation education hakuna mtihani
yes kwa sababu wanaficha matokeo ili kuwamata wazazi wajue watoto wako vyema, na shule iko vyema,kikubwa mimu siabudu mitihani hasa hii ya kuahinanisha watoto.Lakini aliyeleta hapa malalamiko ni wewe, sio wazazi
kabisaNarudia tena ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kulipa milion 4 ili mtoto haende kujifunza kiingereza ambacho anaweza kujifunzia hata mitaani.
Ukitoa kingereza pale hakuna kinachi bakua mkuu, labda na ile kupanda mabasi asubuhi. Hahaa jenga tabua ya kumfanyia mtoto wako accesiment. Ipo siku utagundua ilikuwa ni ujinga kwa sasa huwezi gundua.Inaweza kuwa ni upuuzi kwako ila kwa wengine sio
Wewe kipimo chako kwamba wanafunzi wa Swahili medium au lugha nyingine ni bora kuliko English medium?Sikiliza wewe Kenya kwenyewe mitala mipya yao imeondia mitihani ya Taifa, mitihani si kwamba haipo iko katika school levo.
Mitihani ambayo imefutwa ni ya kitaifa ya kuwashindanisha wanafunzu ujinga kukariri, ila ya shule iko pale pale
sasa mlivyo wa ajabu mnaabudu matokeo ya darasani ilihali mtoto ni zero
Sio kweli, mimi ninakagua yote anayofundishwa mwanangu kila maraUkitoa kingereza pale hakuna kinachi bakua mkuu, labda na ile kupanda mabasi asubuhi. Hahaa jenga tabua ya kumfanyia mtoto wako accesiment. Ipo siku utagundua ilikuwa ni ujinga kwa sasa huwezi gundua.
Ukitoa English taja ni kitu gani mtoto anatoka nacho pale?