Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] nataka niwe tu mlozi, mshana msaada
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] nataka niwe tu mlozi, mshana msaada
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] njoo kilingeni msata kesho usiku
 
Aisee sipendi harufu ya Udi kuna dada nilikaa nae basi moja nilipata shida sana ile harufu ilibidi nihame siti

Ubani napenda harufu yake lakini Udi daaah
 
Aisee sipendi harufu ya Udi kuna dada nilikaa nae basi moja nilipata shida sana ile harufu ilibidi nihame siti

Ubani napenda harufu yake lakini Udi daaah
Sometimes ni jambo la kawaida lisilohusika na mambo ya giza
 
Udi usio na harufu ni sawa na makapi tuu... Harufu ile ndani ya yale makapi ikichomwa na kutoa moshi, moshi ule wenye harufu ndio huvutia nguvu za giza kusogea moshi uliko
Sasa mshana unasema moshi husogeza nguvu xa giza karibu .

Vipi kwa sisi tusiopenda kabisa udi je si tuko salama zaidi kuliko wale wanaochoma huo udi kila wakati .

Binafsi harufu ya UBANI naipenda sana yaani church nakaa karibu sana ili niipate ile harufu vizuri lakinj UDI asalalehh nakereka aisee

Wanawake wanaochoma Udi hawanivutii huwa nawaona wana majinj au washirikina tu
 
Unawavutia majini na mapepo kukaa kwenye viungo vyako hivyo maana hizo sehemu zenu wanawake ndio makazi yao

Endelea kufukuiza udi humo ndani hadi wafikie mapepo 500
 
Mkuu Mshana habari ya siku kiongozi nilipata kuona bandiko lako moja ulikua unazungumzia nyumba uliyopanga kulikua na mama mchawi ili kuthibitisha ukawasha udi yule mama alikufuata akakuambia unataka uniue kama sijasahu nadhani vipi unaweza kuelezea hii kitu ya udi na uchawi inamaana haviendani au inakuaje
 
Hapana hamko safe kwakuwa viashiria na vyanzo ni vingi
 
Nadhani hili bandiko limeshajibu kiu yako hebu soma tena
 
Ulifanya manuizi yoyote au ulichoma tu mkuu bila kufanya manuizi na kama ulifanya manuizi uliamrisha nguvu gani isiyoonekana kwamaana kuna sehemu umesema huwezi kuwaamrisha kwamaana wamefuata harufu tu
Hapana sikufanya chochote... Nilichoma kwa nia ya kupata harufu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…