Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

Ungetoa na Nchi zingine kubwa kisoka kama Ivory Coast na Ghana
 
Kwani ndugu zangu ninyi mnahisi nini mchezaji kuitwa timu taifa?
Je mmejiuliza nyota waliepo kwenye kikosi chao?
Kwahyo kuitwa timu ya taifa ni kitu chakushangiliwa kwa kiasi hicho? Achen ushamba bwana
 
Sasa waliwapigaje TANO?
 
Lomalisa alikuwa mchezaji wa kutegemewa DR Congo walipochukua kombe la Chan 2016.
 
Huu uzi umeanzishwa kishabiki sana na wanao comment wanaendelea ku comment kishabiki na chuki za wazi wazi juu ya timu pinzani.

Simba haijasaijili wachezaji wa kimataifa? Je wote wameitwa timu zao za taifa? Kwani Simba ina mchezaji mmoja tu kutoka Congo? Ngoma kaitwa timu ya taifa ya Congo? Mbona hamjaanzisha uzi kuongelea kuachwa kwa Ngoma na wachezaji wenu? Mmekuja kuzungumzia wachezaji wasiowahusu kama vile nyie timu yenu mchezaji ni Inonga peke yake.

Kumbe wachezaji wa Yanga huwapa maumivu makali sana mioyoni mwenu.
 
Yeah dogo Ana ujinga flani ivi kichwani. Ila ni good
player
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…