Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

Wale wanaocheza kule utopoloni,
Mzengeli ,Moroko na joyce kumbe ni waha wa kibondo bwana...[emoji23][emoji23]View attachment 2854882
Muwe mnatumia akili kuokoteza vijipoint ambavyo avina maana, mnafurahia inonga kuitwa timu ya Kongo mbona yanga ndio timu iliyotoa wachezaji wengi timu za taifa na imetulia tu? Labda niwataje na wewe ututajie wachezaji wa Simba walioitwa nje;
Diarra-Mali
Aucho-Uganda
Aziz ki-burkinafaso
Pacome-Ivory coast
Musonda-Zambia

Hapo atujaweka timu ya Taifa ya Tanzania, Sasa tutajie na wachezaji wa Simba walioitwa timu za taifa nje ya nchi!
 
timu ndogo hua zinapenda mambo madogo
 
Hiyo timu ya DRC Congo itapoanza kubugizwa magoli msisite kutupatia taarifa
 
Sina cha kuongeza, umemaliza kila kitu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Lomalisa alikuwa mchezaji wa kutegemewa DR Congo walipochukua kombe la Chan 2016.
When Lomalisa was Lomalisa.

Naona watu hawafuatilii mpira
 
Kwani ndugu zangu ninyi mnahisi nini mchezaji kuitwa timu taifa?
Je mmejiuliza nyota waliepo kwenye kikosi chao?
Kwahyo kuitwa timu ya taifa ni kitu chakushangiliwa kwa kiasi hicho? Achen ushamba bwana
Imekuuma.
 
Ivory coast hawajatoa majina rasmi,hiyo takataka yako haiwezi pata namba pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…