Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

Baka Varane
Ningekua bado umri unaruhusu kuutwanga kama enzi zangu, basi huyu jamaa ndo angekua role model wangu
Ukimtoa Method Mwanjali...Inonga ni bonge moja la beki kuwahi kuutwanga kwenye hii ligi yetu ya bongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaenda kuaanzia bench labda kama DRC watakuwa wamefuzu na game ilobaki haina madhara kabisa.
 
kwan ndo mara ya kwnza anaitwa ?
shida kucheza uwanjan dakika ya 90 ndo wanamuweka
Wewe angalia qualifications za kombe la dunia mwamba kazima zote pale ,kabla ya kuandika fuatilia ,shule mlienda kusoma nini?una simu?unashindwa vipi kufuatilia vitu vidogo kabla ya kuandika.
 
Inonga ni "beki haswa" aliyeshindwa kuzuia kono la nyani..!!! Huyo huyo Nzengeli aliwaweka cha pili na cha nne hadi mkatimua kocha..!! Na huyo huyo Nzengeli ndo alimtoka Inonga akaamua kumfyeka ikawa penalt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…