Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

Ndo ushindi pekee kwa makolo kw msimu huu.

Afadhari mna vijifuraha vya kuokoteza hapa na pale bila hivyo mngelia na kusaga meno.
Hili likiisha tuendelee lile la world cup za vilabu.
Na vifuraha vyao vya kuokoteza huwa vinaishaga kijinga sana..!!! EMBU KUMBUKA NENO WA KIMATAIFA UTADHANI HAWAKUWAHI KULIFURAHIA..!! Limeyeyuka kama barafu kwapani..!!
 
Ameitwa kama mpenz mtazamaji...mzee wa benchi

Ila hongera kwake
 
Inonga akipata nafasi ya kucheza afcon, hakika nyumbu watachukua epl
 
Inonga ni "beki haswa" aliyeshindwa kuzuia kono la nyani..!!! Huyo huyo Nzengeli aliwaweka cha pili na cha nne hadi mkatimua kocha..!! Na huyo huyo Nzengeli ndo alimtoka Inonga akaamua kumfyeka ikawa penalt.
Tanzania ujinga ni mkubwa VVD,Saliba ,Maquihnos mabeki bora kabisa hawapitwi ,hii elimu ya Tanzania ibadilishwe kabisa maana mnasomea ujinga kabisa
 
Tanzania ujinga ni mkubwa VVD,Saliba ,Maquihnos mabeki bora kabisa hawapitwi ,hii elimu ya Tanzania ibadilishwe kabisa maana mnasomea ujinga kabisa
Kumwelimisha shabiki wa utopolo ni kazi mkuu,tuliatahili malipo
 
Kwa wasiomjua lomalisa ni legend kule DR Congo , alichezea timu iliyopata mafanikio .
Tumpe heshima yake anayostahiki .
 
Attachments

  • 0C27FD4D-1C54-4FD1-AA9E-71E8D08B65B6.jpeg
    118.6 KB · Views: 1
Tanzania ujinga ni mkubwa VVD,Saliba ,Maquihnos mabeki bora kabisa hawapitwi ,hii elimu ya Tanzania ibadilishwe kabisa maana mnasomea ujinga kabisa
Ni kweli TZ makolo kuna ujinga na umbumbumbu mkubwa sana kudhani kuwa Inonga ndiye bora kuliko wachezaji wa nje wote wachezao Tanzania..!!
 
5-1

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…