Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na vifuraha vyao vya kuokoteza huwa vinaishaga kijinga sana..!!! EMBU KUMBUKA NENO WA KIMATAIFA UTADHANI HAWAKUWAHI KULIFURAHIA..!! Limeyeyuka kama barafu kwapani..!!Ndo ushindi pekee kwa makolo kw msimu huu.
Afadhari mna vijifuraha vya kuokoteza hapa na pale bila hivyo mngelia na kusaga meno.
Hili likiisha tuendelee lile la world cup za vilabu.