. Kama tulivyo zungumza hapo awali kuhusu majukumu ✍️Wanasajili vitendo kivipi?
Kuhifadhi mwili wapi?
Kama mwenyezi mungu pekee anajua kikamilifu majukumu yAo kwanini sasa unayajibu wewe?
Kumbe mwili huwa hauozi?mwili wako ni kuchomwa na gas au kwenda kwa
Kwanini waweke alama? Je mwenye uwezo wote anashindwa tambua kwa kutazama? Au anaowatuma wanakuwa hawana uwezo huo?Tunapo sema kusajili vitendo, hapa wanaweka alama kati ya binadamu aliye upande wa mungu na binadamu aliye upande wa ibirisi
Biblia ina waumini wa dini mbalimbali, hasa Ukristo na Uyahudi, kuwa ni Neno la Mungu. Hata hivyo.Kwahiyo ni kwasababu kitabu kimeandikwa yupo ndio maana unaamini na aliyeandika ni mu kama ww?
1......... Katika Biblia, inafafanua uharibifu wa mwili baada ya kifo. Mara nyingi, maandiko yanaelezea jinsi mwili wa binadamu unavyorudi kwenye mavumbi au udongo baada ya kifo.Kumbe mwili huwa hauozi?
• Yoshua mwenyewe alizungumza maneno haya kuelekea mwisho wa maisha yake. Hapa ni muktadha wa mstari huo:Haya maneno alikuwa anayasema nani? Na ni watu gani hao?
Mkuu kesi ya binti kumfukia maMa yake wakafukua mifupa moshi unaikumbuka?kwamba mwili utafufuliwa katika hali isiyoharibika na yenye utukufu.
sasa habari za yoshua akiwaambia waisraeli zinakuhusu nini wewe mmbondei?• Yoshua mwenyewe alizungumza maneno haya kuelekea mwisho wa maisha yake. Hapa ni muktadha wa mstari huo:
• Yoshua, aliyekuwa kiongozi wa Waisraeli baada ya Musa, anawaambia watu wa Israeli kwamba wanahitaji kuchagua kumtumikia Bwana. Anaweka chaguo mbele yao, akisema, "Lakini mimi na watu wangu tutamuhudumia Bwana."
• Kauli hii inahusiana na muktadha wa Yoshua akiwahimiza watu wa Israeli kuacha miungu mingine na kuchagua kumtumikia Bwana wa Israeli pekee. 🙏🙏
Hii ni mifano kama ya maagano, je unajua kuhusu maagano ya duniani/ulimwengu wa kiza 🤔🤔Kwanini waweke alama? Je mwenye uwezo wote anashindwa tambua kwa kutazama? Au anaowatuma wanakuwa hawana uwezo huo?
Na alama hizo zinakuwaje?
Hii ni mifano kama ya maagano, haya ni maneno ya nani?Hii ni mifano kama ya maagano, je unajua kuhusu maagano ya duniani/ulimwengu wa kiza 🤔🤔
Hayo ni maneno yako! Halafu unasema ndicho mungu alichomaanisha?😂Haya ni maneno yangu mkuu, baada ya kupitia maandiko mbali mbali, nimeambulia kuelewa hayo maneno.. Mungu alicho maanisha.
Mkuu kesi ya binti kumfukia maMa yake wakafukua mifupa moshi unaikumbuka?
Kinachobaki chini ni mfupa nataka uniambie point ya kwanini ufufuliwe mwili ambao yeye anadai si muhimu?
Nataka uniambie huwa anaanza kuutengeneza mwili tena baada ya kubaki mifupa?
Umekiri anadili na roho na si mwili.
ili kuelewa jukumu la malaika, ni muhimu kutambua kwamba uwepo wa Mungu Malaika Wanashiriki katika Matukio ya Kiroho:
Sijaona ulichojibu hapa.• Si mungu tu, hata shetani anafanya hivyo, ingawa yeye anatumia ULONZI/USHIRIKINA. ( lakini mda wa Mungu ukifika hufariki mara ya pili tena). Kwa hiyo mwenye imani haba huwezi kuona mambo haya kwa jicho la kawaida.
• Ufunuo 20:4 (NIV):
"Nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yao, na amri ikapewa wale walioketi. Nikaona roho za wale waliokatwa vichwa na kubaki mifupa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu na kwa ajili ya neno la Mungu, nao wasiomsujudie yule mnyama wala sanamu yake, wala hawakupokea alama katika vipaji vyao vya kulia au katika mapaji yao, nao wakawa hai wakaushika utawala pamoja na Kristo muda wa miaka elfu."
Mkuu naomba unirekodie mimi jicho langu haliwezi kuona hivyo unavyodai.Kwa hiyo mwenye imani haba huwezi kuona mambo haya kwa jicho la kawaida.
sasa habari za yoshua akiwaambia waisraeli zinakuhusu nini wewe mmbondei?
Unaweza kuonyesha sehemu aliposema na nyinyi wazigua?
Kama ulilitambua hili habari za Yoshua na wana waisraeli zinakuhusu nini?Wazigua ni wakiristo siyo wayahudi,
Wakristo wanaweza kuwa wa asili na tamaduni tofauti, wakiwa na tofauti za lugha, mila, na mazoea ya kitamaduni. Wanajumuisha makundi mengi ya kikabila kutoka duniani kote, kutoka Ulaya, Asia, Afrika, Amerika na baadhi ya maeneo.
Halafu wazigua si wakristo tu, wapo wa imani tofauti!Wazigua ni wakiristo