Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #241
. Kama tulivyo zungumza hapo awali kuhusu majukumu ✍️Wanasajili vitendo kivipi?
Kuhifadhi mwili wapi?
Kama mwenyezi mungu pekee anajua kikamilifu majukumu yAo kwanini sasa unayajibu wewe?
. Mungu anawapa majukumu wasaidizi wake, wasaidie baadhi ya Kazi huku duniani ✍️
. Tunapo sema kusajili vitendo, hapa wanaweka alama kati ya binadamu aliye upande wa mungu na binadamu aliye upande wa ibirisi ✍️, hivyo basi hata siku ya kiama ikifika wewe unakua mwili wako ni kuchomwa na gas au kwenda kwa mwenyezi mungu moja kwa.